Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2013

WAJUMBE WA TUME YA KATIBA WAENDELEA NA UCHAMBUZI WA MAONI YA WANANCHI KUHUSU KATIBA MPYA

  Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim (kulia) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika leo (jumanne Machi 26, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine ni Wajumbe wa Tume, Prof. Mwesiga Baregu (katikati) na Suleiman Ali. Read more...

William Hague, Angelina Jolie visit Rwanda

By James Karuhanga The UK Foreign Secretary and First Secretary of State, William Hague, and UNHCR Special Envoy, Angelina Jolie, arrived in Kigali on Sunday, for a visit that will also take them to the Democratic Republic of Congo (DRC), aimed at highlighting the terrible human cost of warzone rape, and to call on Governments worldwide to address this neglected and growing problem. Britain’s Foreign Office released a picture of Angelina Jolie and William Hague getting off a British-flagged jet in Rwanda. According to a statement received by The New Times today from the British High Commission, Hague is scheduled to meet President Paul Kagame and Foreign Minister Louise Mushikiwabo, to discuss the need for a lasting solution to the conflict in Eastern DRC, as well as other bilateral issues. Hague and Jolie will also visit a Genocide Memorial in Kigali to pay their respects to the victims of the 1994 Genocide. In Eastern DRC, they will meet survivor...

Prince William search and rescue helicopter teams privatised as contract is handed to U.S. in £1.6bn deal

Sell-off: Rescue helicopter services, such as those flown by Prince William, will now be operated by a private American company By BEN SPENCER and HUGO GYE A U.S. firm was today handed the contract for Britain’s helicopter search and rescue operations. The award of the £1.6billion contract to Texas-based Bristow Group marks the end of 70 years of search and rescue operations by the Royal Navy, the RAF and the Maritime & Coastguard Agency. Armed forces pilots such as Prince William, who works at the RAF search and rescue base on Anglesey, will be replaced by civilian contractors over the next few years. The deal, which runs from 2015 to 2026, will also mean the end of the much-loved Sea King helicopter, famous for its yellow RAF or red Navy coat. As well as its emergency role, the Sea King was used in a combat capacity during the Falklands conflict. Bristow is planning to replace it with the faster Sikorsky S-92 and Somerset-built Agu...

WATEJA WANAOTUMIA HUDUMA YA M-PESA SASA KUTUMIA ATM ZA DTB KUTOLEA FEDHA

Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji na Masoko wa DTB, Sylvester Bahati (kushoto) akiwaelezea waandishi wa habari jinsi ya kutoa fedha  kwenye mashine za kutolea fedha za DTB kupitia huduma ya Vodacom M PESA ambapo sasa wateja wanaotumia huduma hiyo wanaweza kutoa pesa kupitia mashine hizo popote walipo nchini.  Huduma hiyo imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim.… Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji na Masoko wa DTB, Sylvester Bahati (kushoto) akiwaelezea waandishi wa habari jinsi ya kutoa fedha  kwenye mashine za kutolea fedha za DTB kupitia huduma ya Vodacom M PESA ambapo sasa wateja wanaotumia huduma hiyo wanaweza kutoa pesa kupitia mashine hizo popote walipo nchini.  Huduma hiyo imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim. M eneja  Mahusiano ya Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim, akitoa fedha kwa mara ya kwanz...

Filamu hii itabisha hodi mapema tu sikuza usoni

Uchukuaji wa picha za filamu ya World of Benefit unavyoendelea! Uchukuaji wa picha za fiamu ya World of Benefit unaendelea katika maeneo tofauti tofauti ndani ya jiji la Dare es Salaam ambapo wiki hii scene za hosptali zilipigwa. Filamu hiyo imetokana na stori iliyoandikwa na Mwandishi mahiri wa Riwaya hapa nchini, Hamees Suba iliyokuwa ikijulikana kwa jina hilohilo la World of Benefit. Msanii Rose Ndauka akiwa katika moja ya Igizo la filamu hii ya World of Benefit. Filamu inashutiwa’ chini ya jopo la madairekta wakongwe watatu ambao ni Seles Mapunda (DoD), Selemani Mkangara (Striker) na Director kutoka Bollywood, India, Samir Srivastava! Mtayarishaji wa filamu hiyo, Hamees Suba ameeleza kwamba stori iliyomo ndani ya muvi hiyo inazungumzia mapenzi, nguvu ya pesa na utoto wa mjini. Upande wa kamera, taa na sauti umesimamiwa na ‘cruew’ kutoka Bollywood (India) chini ya kampuni ya Pilipili Entertainment ikiongozwa na Bwana Ajay. Mastaa walioshiriki katika...

New China President Xi Jinping receives rousing Welcome in Dar es Salaam

By ABDULWAKIL SAIBOKO New Chinese President Xi Jinping arrived in Dar es Salaam on Sunday to start a historic two-day visit in the country as part of a three African nations tour which will take him to South Africa and the Democratic Republic of the Congo. President Jakaya Kikwete welcomes President Xi Jinping and his wife to Dar es Salaam President Xi who flew into the country from Moscow, Russia, was received by the country’s top leadership led by President Jakaya Kikwete at the Julius Nyerere International Airport (JNIA). Other leaders at the airport included Vice-President Dr Mohamed Gharib Bilal and Prime Minister Mizengo Pinda, among others. Dar es Salaam residents turned out by their numbers at the airport to get a glimpse of the Chinese leader whose country enjoys longstanding relations with Tanzania. Tanzania becomes the first African country to be visited by President Jinping since he assumed the presidency of China on March 14, this y...

New China President Xi Jinping receives rousing Welcome in Dar es Salaam

By ABDULWAKIL SAIBOKO New Chinese President Xi Jinping arrived in Dar es Salaam on Sunday to start a historic two-day visit in the country as part of a three African nations tour which will take him to South Africa and the Democratic Republic of the Congo. President Jakaya Kikwete welcomes President Xi Jinping and his wife to Dar es Salaam President Xi who flew into the country from Moscow, Russia, was received by the country’s top leadership led by President Jakaya Kikwete at the Julius Nyerere International Airport (JNIA). Other leaders at the airport included Vice-President Dr Mohamed Gharib Bilal and Prime Minister Mizengo Pinda, among others. Dar es Salaam residents turned out by their numbers at the airport to get a glimpse of the Chinese leader whose country enjoys longstanding relations with Tanzania. Tanzania becomes the first African country to be visited by President Jinping since he assumed the presidency of China on March 14, this y...

Tiger Asomeka vilivyo kwenye Kurasa za Facebook

K ama ilivyosikika siku ya Jumatatu,  Tiger Woods  na  Lindsey Vonn kwa sasa ni wapenzi rasmi. Tiger, the 14-time major winner and tip of the professional athlete summit,  announced on his Facebook page  that he was dating Vonn, a former gold medal winner in the Winter Olympics and while the two seem obsessed with each other in those pictures, that hasn't always been the case. [Video:  Tiger Woods and Lindsey Vonn make it Facebook official ] Geoff Shackelford dug up  this  Time Magazine  article  from three years ago titled , "Lindsey Vonn Makes Fun of Tiger Woods Too!" The article was accompanied by this quote, that shows it wasn't just golf writer, bloggers and fans that had a little fun when Woods came on that stage years ago to give us his statement about what exactly happened in his personal life. And like millions of Americans, Vonn can't help poking fun at Woods' staged event. When a member of her Vonn-toura...

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA VATICAN ROMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na Mkewe Tunu wakifanya mahojiano na mtangazaji wa Radio Vatican, Padri Richard Mjigwa (katikati)  kweye  moja kati ya studio  za Raido hiyo Mjini Roma walikohudhuria sherehe za  kusimikwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Diuniani, Papa Francis 1 Machi 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Read more...

WAGUNDUZI watakiwa kugundua VITU VITAKAVYOWASAIDIA WANANCHI KATIKA JAMII: DK. MWERE

Watafiti nawanasayansi nchini Tanzania wametakiwa kufanya tafiti za kiungunduzi ambazozitaleta manufaa na kusaidia jamaii ya watanzania . Hayo yamesemana leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dr. Mwele Malecela(pichani juu) wakatiwa semina ya siku moja ya wagunduzi mbalimbali iliyoandaliwa kwa pamoja kati yaNIMR na Shirika la Grand Challenges la Read more...

Marekani yajiandaa kumsafirisha Bosco Ntaganda Hague

Na Victor Melkizedeck Abuso Marekani inasema Ubalozi wake mjini Kigali nchini Rwanda unajiandaa kumsafirisha Jenerali Bosco Ntaganda aliyejisalimisha kwenye ubalozi wake na kwamba wana matumaini kupata ushirikiano toka kwa serikali ya Rwanda. Bosco Ntagannda Bosco Ntaganda aliishangaza dunia juma hili baada ya kujisalimisha mwenyewe kwenye ubalozi wa Marekani nchini Rwanda akitaka msaada wa kufikishwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC. Msemaji wa kundi la M 23 linalowakilishwa na Askofu Jean Marie Runiga, Salomon Baravuga amesema kiongozi wake ndiye aliyemshawishi Ntaganda kujisalimisha huku akikanusha kundi lake kuwa na uhusiano na kiongozi huyo. Kwa upande mwingine msemaji wa kisiasa wa kundi la M23 linaloongozwa na Sultan makenga, Betrand Bisimwa ameendelea kusisitiza kuwa Runiga na kundi lake walikuwa na uhusiano wa karibu na Ntaganda waliyetaka arejee katika kundi lao. Rais Joseph Kabila ameendelea kukutana na viongo...

Al-Qaeda says French hostage beheaded over Mali intervention

AQIM has released pictures of Philippe Verdon (right) with fellow captive Serge Lazarevic. (AFP) AL ARABIYA WITH AGENCIES - French hostage, Philippe Verdon, has been beheaded by al-Qaeda’s wing in north Africa in retaliation for France’s intervention in Mali, Mauritania’s ANI news agency reported on Tuesday, citing a spokesman for the group. Verdon, a French geologist captured in the northern Mali town of Hombori in November 2011, was beheaded by al-Qaeda on March 10, the group said. An al-Qaeda commander reportedly called ANI, which has close links to Islamist militants, saying Verdon was killed “in response to the French military intervention in the north of Mali,” ANI reported. The death, if proved true, would be a worrying development for Paris, which still has some 14 hostages held in West Africa, including seven in the Sahel by AQIM and its affiliates. French President Francois Hollande in part justified military action in Mali to preve...

First Lady Honors Women Veterans as Champions of Change

First Lady Michelle Obama honors women veterans as Champions of Change. These women have not only served our country in uniform but have continued to serve as leaders in our nation’s communities, businesses, and schools.

Injini za kisasa zinahitajika ili kuboresha usafiri wa Reli

       Na:Hussein Makame na Genofeva Matemu-Maelezo  WAZIRI wa Uchukuzi  Dk. Harrison Mwakyembe amesema kuwa Serikali inahitaji injini za kisasa ili kuboresha usafiri wa treni kwa mkoa wa Dar es Salaam na Read more...

Soma Gazeti la Mwananchi la Leo

NAIONA AFRIKA IKIINUKA TENA KIUCHUMI(2)

Na: Albert Sanga, Iringa. Mwaka 2001 nilihudhuria kongamano la kidini ambalo pamoja na mambo mengine lilijadili hali ya maendeleo ya Afrika. Kongamano hilo lilifanyika katika shule ya sekondari ya Bihawana iliyopo nje kidogo ya mji wa Dodoma. Mada iliyowasilishwa kuhusu Afrika ilikua na kichwa, "Je, Afrika imelaaniwa?".Mtoa mada mkuu alikua ni mzungu mmoja (mmishenari), ambaye aliamsha mjadala mkali kweli kweli mara baada ya kumaliza kuwasilisha hoja zake. Katika mjadala uliofuatia (baada ya mtoa hoja kumaliza) kulijitokeza makundi mawili baina ya wanakongamano; moja likisema na kuamini kua Afrika imelaaniwa na jingine likipinga kabisa laana ya Afrika. Upande uliokua ukisema Afrika imelaaniwa ulikua na hoja zenye nguvu kweli kweli na ulionekana kuuzidi ule upande uliopinga laana ya Afrika. Mmoja wa wachangiaji alisimama na k...

Rwanda yakanusha kuwepo kwa waasi wa M 23 nchini humo

Waasi wa M 23 Na Victor Melkizedeck Abuso Serikali ya Rwanda kupitia Waziri wa mambo ya nje Louise Mushikiwabo imetupilia mbali madai ya serikali ya DRC kuwa Jenerali Bosco Ntaganda anayesakwa na Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivta ICC amevuka mpaka na kuingia Rwanda. Itakumbukwa kuwa mwishoni mwa juma lililopita, wapiganaji wapatao 700 wa M 23 wa upande wa Jean- Marie Runiga walivuka mpaka kukimbilia nchini Rwanda baada ya makabiliano makali na upande wa M23 wanaoongozwa na Sultan Makenga. Hata hivyo, serikali ya DRC kupitia msemaji wake Lambert Mende inaomba nchi ya Rwanda kuwapeleka mbele ya vyombo vya sheria vya kimataifa wale ambao wanatafutwa kwa makosa ya uhalifu wa kivita. Mashirika ya kiraia katika Jimbo la Kivu ya Kaskazini kwa upande wao, yametoa msimamo wao kuhusiana na taarifa hizo, huku Omar Kavota naibu Mwenyekiti na msemaji wa mashirika hayo akisema viongozi hao wa M 23 wameitwa Rwanda na viongozi wa serikali hiyo. Read ...

KOCHA YANGA : MECHI ZOTE ZILIZOSALIA KWETU NI FAINALI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Ernie Brandts ametamba kuwa, mechi zote zilizosalia katika michuano ya ligi kuu ya Tanzania Bara kwao ni sawa na fainali hivyo hawawezi kuzipuuza. Brandts alisema hayo baada ya mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika juzi kwenye uwanja wa Mabatini uliopo Kijitonyama, Dar es Salaam. Kocha huyo alisema wanaipa uzito mkubwa mechi kati yao na Ruvu Shooting itakayochezwa keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa vile wapinzani wao si timu ya kubeza. Katika mechi ya kwanza kati ya timu hizo iliyochezwa Oktoba 20 mwaka jana, Yanga iliichapa Ruvu Shooting mabao 3-2. Yanga inaongoza ligi hiyo kwa kuwa na pointi 45 baada ya kucheza mechi 19 wakati Ruvu Shooting inashika nafasi ya sita ikiwa na pointi 29 baada ya kucheza mechi 18. "Ninakiandaa kikosi changu kuhakikisha kinapata pointi tatu katika kila mchezo ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa,"alisema Brandts. "Kila mchezo tunaocheza kwa sasa ni fainali kwetu, kil...

Cheki Genevieve katika utingaji wa Kivazziiii chake

LAGOS, Nigeria MCHEZA filamu nyota wa Nigeria, Genevieve Nnaji mwishoni mwa wiki iliyopita alikuwa kivutio kikubwa wakati wa sherehe za utoaji wa tuzo za AMVCA zilizofanyika mjini hapa. Sababu iliyomfanya Genevieve awe kivutio kwa watu waliohudhuria sherehe hiyo ni kivazi alichokuwa amevaa, ambacho kiliacha sehemu kubwa ya kifua chake kikiwa wazi. Gauni hilo jeupe alilovaa mwanadada huyo lilisababisha sehemu ndogo ya matiti yake yote mawili kuonekana na hivyo kuwatoa udenda akina yakhe. Baadhi ya mapaparazi waliohudhuria sherehe hiyo walipigana vikumbo, kila mmoja akitaka kupata picha nzuri za mcheza filamu huyo, ambaye muda wote huo alionekana akitabasamu. Maziwa madogo ya mwanadada huyo na chuchu zilizosimama mithili ya msichana aliyevunja ungo, ndivyo vitu vilivyokuwa kivutio kutoka kwa mwanadada huyo. Mbali na hayo, sura yake mwanana na umbile lenye mvuto ni baadhi ya vitu vingine vilivyomfanya awe kivutio cha aina yake wakati wa sherehe hiyo. Baadh...

ICC kutathmini kesi dhidi ya Uhuru Kenyatta

Mahakama ya ICC wanatarajiwa kuwa na kikao kutathmini athari ya kesi dhidi ya Uhuru Kenyatta. Mjini The Hague Uholanzi leo alasiri mahakama ya ICC inatarajiwa kufanya kikao maalum kilichoitishwa na majaji kutathimini athari zinazoweza kuonekana katika kesi dhidi ya Uhuru Kenyatta ambaye ni mmoja kati ya watuhumiwa wa kesi ya ghasia za baada ya uchaguzi wa kenya mwaka 2007, baada ya mwendesha mashataka mkuu wa mahakama hiyo wiki iliyopita kutangaza uamuzi wa kuibwaga kesi dhidi ya mtuhumiwa mwengine katika kesi hiyo aliyekuwa mtumishi wa umma Francis Muthaura. Leo mawakili wa rais mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta wanategema kuitia msukumo pia mahakama hiyo kuitupilia mbali kesi dhidi ya mteja wao. Hata hivyo kumekuwa na maswali mengi juu ya jinsi mahaka hiyo inavyoiendesha kesi hiyo,hasa kutokana na suala la ushahidi katika upande wa mwendesha mashataka wa mahakama hiyo. Nimezungumza na mwanasehria wa Kimataifa kutoka London Gordon Mwikira juu ya suala hili...

Neno La Leo; Na Tuyaishi Maisha Ya Kadiri..

Neno La Leo; Na Tuyaishi Maisha Ya Kadiri... Ndugu zangu, DUNIANI hakuna miujiza katika kuyafikia mafanikio. Hakuna njia za mkato pia. Ni sharti tufanye kazi kwa bidii. Tusiwe ni watu wenye kutanguliza taamaa na hata kuwadhulumu wengine. Tuyaishi maisha ya kadiri. Ni kwa kuyafanya yale yaliyo ndani ya uwezo wetu. Si kuishi kwa kufikiri wengine wanavyotaka uishi. Maana, ni wachache duniani walioweza kufanya miujiza kama tunayoambiwa kwenye vitabu vya dini; Bwana Yesu yu miongoni mwa wachache hao. Tunasoma, kuwa Mafalisayo  walimshangaa Yesu na mafanikio yake.  Wakatamka; “ Hivi ni Yesu huyu huyu mwana wa Joseph fundi Seremala!” Naam, mwanadamu usitazame tu  alipofikia sasa mwanadamu mwenzako kwenye safari yake. Jitahidi uangalie mwanzo  wa safari yake. Alikotokea. Ndipo hapo utayapata ya kujifunza. Papa Francis w...

President Kagame urges long-term partnership

President Paul Kagame has urged international partners to focus on contribution that will have a long term impact for Rwandans. President Kagame (C) with President of World Affairs Council, Wayne Lord (L), and ex-US envoy to the UN, Andrew Young. The New Times/ Courtesy. The President made the remarks while addressing a breakfast meeting hosted in his honour by the World Affairs Council of Atlanta. Kagame highlighted the challenges Rwandans has faced in rebuilding the country and emphasised the importance of partnerships in the country’s ongoing transformation. “Rwanda started at a very low base where we did not have the opportunity to prioritise. Everything was a priority and we were working in a society whose social fabric had been torn apart. Partnerships and the resilience of Rwandan people are the reasons Rwanda has been able to turn around a very difficult situation,” President Kagame said. He added: “Where we want to be is still far away an...

CCM DMV YATANGAZA UTARATIBU WA KUPIGA KURA

Wanachama wa CCM DMV mnaombwa kuhudhuria mkutano mkuu wa kuchagua viongozi wa CCM  Tawi la DMV utakaofanyika: SIKU: JUMAMOSI MACHI 16, 2013 MUDA: SAA 9 JIONI (3pm) Tafadhali zingatia muda. MAHALI: 500 Sligo Avenue Silver Spring,Md 20910 Tume ya uchaguzi tawi la CCM-DMV inawatangazia wanachama wote wa CCM-DMV utaratibu utakaotumika katika kuchagua viongozi Machi 16,2013 kama ifuatavyo: 1.Kila mwanachama wa CCM-DMV awe na kadi yake ya uanachama iliyoambatanishwa na picha yake. 2.Kila mwanachama wa CCM-DMV kabla hajaingia katika ukumbi wa mkutano kadi yake itahakikiwa uhalisi wake. 3.Baada ya uhakiki wa kadi, kila mwanachama ataandikishwa jina lake kamili,namba ya simu,anuani ya barua pepe(email address) katika daftari la orodha la CCM-DMV. 4.Baada ya huo utaratibu hapo juu(namba 1-3)kukamilika ndipo zoezi la upigaji kura utaanza. KAMA UNA SWALI LOLOTE KUHUSU UCHAGUZI TAFADHALI WASILIANA NA TUME YA UCHAGUZI 1.Hidaya Mahita(24...

President Obama Speaks on American Energy

President Obama discusses the need to continue investing in American-made energy to help create jobs while further reducing our dependence on oil, better protecting consumers from spikes in gas prices, and reducing pollution.

Odinga afikisha malalamiko mahakamani

Polisi mjini Nairobi, Kenya, wamefyatua moshi wa kutoza machozi kuwatawanya mamia ya wafuasi wa Waziri Mkuu Raila Odinga, nje ya mahakama makuu.     Mawakili wa Bwana Odinga waliwasilisha kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mapema mwezi huu, ambapo Bwana Odinga alishindwa kwa kura elfu chache na Bwana Uhuru Kenyatta. Hapo awali Bwana Odinga aliwasihi wafuasi wake wasijihusishe na vurugu. Mawakili wa Bwana Odinga wamekwenda mahakamani wakidai kuwa kumepita udanganyifu kwenye uchaguzi.Source BBC.

Zimbabwe yapiga kura ya maoni ya katiba

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amekanusha malalamiko kwamba wananchi hawakuelezewa ipasavyo kuhusu katiba mpya. Bwana Mugabe aliiambia BBC kwamba Wazimbabwe walishauriwa sana kuhusu katiba hiyo na walitoa maoni yao. Kura ya maoni kuhusu katiba mpya inafanywa nchini Zimbabwe leo. Chama cha Rais Mugabe cha Zanu-PF na kile cha MDC cha Morgan Tsvangirai ambacho kimo kwenye serikali ya mseto, vinaunga mkono katiba mpya. Waandishi wa habari wanasema wakati wa kampeni pamekuwa na mvutano nchini Zimbabwe kabla ya uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanywa baadae mwaka huu. Vyama vikuu vya Zimbabwe vina msimamo mmoja kuhusu katiba inayopendekezwa. Vinaiunga mkono. Inavoelekea katiba itakubaliwa na wengi lakini inawezekana wataojitokeza kupiga kura ya maoni ni wacha...

ZEE LA MISEMO

Katuni na  Malickys.blogspot.com

Wanafunzi 5,000 watimuliwa kwa ujauzito

Na Hellen Ngoromera WANAFUNZI 5,157 wa sekondari wamefukuzwa shule mwaka 2011 kutokana na kugundulika kupata ujauzito. Hayo yalielezwa jana jijini Dar es Salaam na mratibu wa mafunzo ya jinsia kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Winifrida Rutaindurwa katika semina ya waandishi wa habari kuhusu changamoto zinazowakabili watoto wa kike. Akizungumza katika semina hiyo iliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), alisema idadi hiyo ambayo ni sawa na asilimia 6.8 ni ndogo ikilinganishwa na ya waliobainika kupata ujauzito na kufukuzwa mwaka 2010 ambao walikuwa 5,346 sawa na asilimia 8.1. Kwa mujibu wa mtaribu huyo, katika utafiti wao wamebaini kwamba vyanzo vikuu vya tatizo hilo ni ukosefu wa usafiri wa uhakika kwa wanafunzi hao hali inayowafanya wengi wao hasa wanaosoma mijini kushawishika na lifti. Vyanzo vingine ni umbali wa shule na maeneo wanayoishi, ukosefu wa mabweni kwa wanaosoma shule za kutwa na nyingine, ...

'Pray for me,' 76-year-old Argentinian Jorge Bergoglio asks the world as he is announced as 266th pontiff... to be named Francis I

By MARIO LEDWITH The new Pope has been unveiled as Argentine Jorge Mario Bergoglio, the Archbishop of Buenos Aires, who will take the name Pope Francis I. The 76-year-old was welcomed by tens of thousands of overjoyed Catholics in St. Peter's Square in the Vatican City after his election was revealed when white symbolic smoke poured out of the Sistine Chapel's chimney. Pope Francis becomes the first South American Pontiff and the first Jesuit to lead the Catholic Church. His South American origin - also making him the first non-European Pope - is a significant move for the Church, taking the Papacy to a continent in which 42 per cent of the world's Catholics live amid a plethora of recent scandals affecting the Vatican. Known as an avid reformer, he becomes the third non-Italian Pope in a row, having being born and spent his life in the Argentinian capital. Scroll down for video and live footage Looking out: Newly elected Pope Fran...

Somalia yakabiliwa na changamoto mpya, fursa za kurahisishwa kikwazo cha silaha

Na Majid Ahmed, Mogadishu Mwaka mmoja wa kulegezwa kwa kikwazo cha silaha kwa Somalia na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutaiwezesha serikali kununua silaha nyepesi nyepesi kwa ajili ya vita vyake dhidi ya al-Shabaab, lakini baadhi ya wachambuzi wanaonya kuwa kwa kufunguliwa kwa njia ya silaha kunaweza kuruhusu silaha kuishia katika mikono isiyotakiwa. Chini ya Azimio 2093 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) itaendelea kubakia huko hadi mwezi Februari 2014. [Na Stuart Price/AU-UN IST/AFP] Azimio nambari 2093 linairuhusu Somalia kununua silaha zenye ukubwa wa mwisho wa kipenyo cha milimita 12.7. Azimio pia linarefusha mamlaka ya jeshi la askari 17,000 la Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) hadi tarehe 28 Februari, 2014. Katika azimio hilo, serikali ya Somalia lazima itoe siku tano za taarifa kwa kamati inayoshughulikia na usimamizi wa vikwazo vilivyowekwa na Umoja wa Mata...

Barcelona yaingia robo fainali kwa kuwabamiza AC Milan 4-0

Lionel Messi, mchezaji wa Barcelona aliyepachika mabao mawili katika mechi dhidi ya AC Milan Klabu ya Barcelona ya Uhispania imedhirisha msemo wa waswahili kuwa kutangulia sio kufika baada ya kufuzu katika robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa kwa kuigaragaza AC Milan ya Italia mabao 4 kwa 0 jana. Mashabiki wa Barcelona watamkumbuka sana Lionel Messi ambaye aliifungia Barcelina mabao mawili katika mchuano huo. Wengi walikuwa wametabiri kuwa huenda Barcelona wangetolewa nje ya michuano hiyo baada ya kufungwa na AC Milan mabao 2-0 katika mchuano wa kwanza waliocheza ugenini mwezi uliopita. Mabao mengine ya Barcelona yalipachikwa na David Villa aliyefunga la tatu katika dakika ya 55 huku Jordi Alba akifunga bao la mwisho katika dakika za lala salama la mchuano huo. Via kiswahili.rfi.fr

ACQUELINE WOLPER ANASWA LIVE AKIWA NUSU UCHI

Hatimaye staa wa fi lamu za Kibongo mwenye heshima tele, Jacqueline Massawe Wolper Nyota  huyo  hapo alifanya hivyo unavyo muona kwenye  sherehe ya ‘bethidei’ ya msanii mwenzake iliyofanyika hivi karibuni Ubungo jijini Dar. Siku za nyuma, staa huyo aliwahi kukataakuanya kitendo cha kupiga picha kama hali inavyo onekana pichani

Mahojiano kati ya Dr. Slaa na Radio FM ya WPFW Washington DC

  Dr. Wilbroad Slaa   Dr. Wilbroad Slaa, amealikwa kwa mahojiano na WPFW Radio ya Washington, D.C. U.S.A. siku ya jumatano tarehe 13 Machi, 2013. Saa saba mchana, saa za Amerika ya mashariki ( 1pm U.S Eastern time)  Saa mbili usiku saa za Afrika mashariki (8pm East Africa time). Kumefanyika jitihada za kuushirikisha ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kushiriki mahojiano haya bila kuwa na mafanikio. Bado jitihada za kuushirikisha ubalozi zinafanyika. Baadhi ya mambo yatakayo jadiliwa ni hali ya siasa Tanzania, hali ya kijamii, hali ya kiuchumi, amani na usalama wa Tanzania na mengineo. Bofya hapa kusikiliza WPFW radio live WPFW Radio

JK OPENS THE CONFERENCE ON THE STRATEGIC IMPORTANCE OF INTELLECTUAL PROPERTY (IP) POLICIES

Dr. Abdallah Kigoda, Minister for Industry and Trade makes a brief introduction before the  opening of the African Conference on the Strategic Importance of Intellectual Property Policies to Foster Innovation, Value Creation and Competitiveness at the Hyatt Regency Kilimanjaro hotel in Dar es salaam today March 12, 2013. President Dr Jakaya Mrisho Kikwete opens the African Conference on the Strategic Importance of Intellectual Property Policies to Foster Innovation, Value Creation and Competitiveness at the Hyatt Regency Kilimanjaro hotel in Dar es salaam today March 12, 2013. A cross sections of participants to the African Conference on the Strategic Importance of Intellectual Property Policies to Foster Innovation, Value Creation and Competitiveness at the Hyatt Regency Kilimanjaro hotel in Dar es salaam today March 12, 2013. President Dr Jaka...