uongozi mpya wa taswa.
Chama cha waandishi wa habari za michezo taswa kimefanya uchaguzi wa viongozi wapya baada ya uongozi wa zamani kumaliza muda wake wa miaka mitatu kama katiba inavyotaka .
Katika uchaguzi huo viongozi waliochaguliwa ni
MWENYEKITI
JUMA PINTO.
MAKAMU MWENYEKITI.
MAULID KITENGE.
KATIBU MKUU
AMIR MHANDO.
KATIBU MSAIDIZI
GEORGE JOHN
HAZINA.
SULTAN SIKIRO
CHANZO NI WWW.JANE JOHN.BLOGSPOT.COM
CHANZO NI WWW.JANE JOHN.BLOGSPOT.COM
MSAIDIZI
MOHAMED MKANGARA
KWA UPANDE WA WAJUMBE NI.
ELIUS KAMBIRI
GRACE HOKA
ZENA CHANDE
ALFRED LUCAS
OSMAN KAPINGA
SALUM JABA
Comments