NI baada ya misuguo ya u dj katika kuporomosha track za 'kufa mtu'
ndani ya ukumbi wa Club Masai Kinondoni jijiji Dar es Salaam , Jumamosi wiki iliyopita .
HUYU ni dj Victor akiwa anakamua supu flani hivi mida mibovuuu siku ya jumamosi Club Masai , hapa ni nyuma ya ukumbi huo ambapo mashabiki utoka ndani na kupata supu ya nyama .
VIPI kama ukiongeza , ilo nineno lililo sikika dj huyo akimwambia anaye usika na suala la jiko anayeonekana pichani kavaa vazi jeupe la kazi hiyo ya jiko siunajua kuna mida flani jamaa huyo wa jiko huwa anakuwa mtu mhimu sana kwani siunajua pombe na nyama jinsi zinavyo simama kwa kwenda mbele.
Comments