
MDAU huyu ni Mwanamuziki wa Ragge ambapo blog hii ilimbamba eneo la Azikiwe Posta Mpya
muda wa mchana anaitwa Ras Ino maarufu sana katika anga za muziki huo nchini hapa , amenidokeza tu , kuwa anaandaa mambo makubwa kuubeba muziki huo wa Ragge nchini.
Comments