
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Pandu Ameir Kificho kutoka kushoto, akizungumza jambo na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Nje ya ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Mjini Dodoma leo, baada ya kuaghirishwa kwa kikao hicho hadi kesho asubuhi. Katikati ni Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, kulia Mjumbe wa Kamati hiyo Mhe. Zakia Hamdani Meghji. kushoto, akizungumza jambo na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Nje ya ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Mjini Dodoma leo, baada ya kuaghirishwa kwa kikao hicho hadi kesho asubuhi. Katikati ni Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, kulia Mjumbe wa Kamati hiyo Mhe. Zakia Hamdani Meghji.

MJUMBE wa kamati kuu ya CCM Taifa na Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Baadhi ya Wajumbe wa Kamati hiyo ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma .
Comments