MWENYEKITI wa chama cha CHADEMA , Freeman Mbowe akimkabidhi vitabu vya Ilani ya chama hicho kwa mgombea Urais wa chama hicho Mh Willbrod Slaa leo jioni katika viwanja vya Jangwani jijini Dar mara baada ya kuizindua.
Wasanii wa muziki wa Kizazi Kipya Dani Msimamo (kushoto) na Mkoloni wakiwa jukwaani wakati wa uzinduzi wa kampeni.
Comments