Lil Kim akiwa mbele ya Juma Nature uku mzuka wa Nyota huyo wa Kimarekani ukiwa anasongesha makamuzi.
Lili Kim akionesha kufurahi na nyota wa muziki wa Bongo Juma Kassim a.k.a Sir Nature
wakazi wa jiji la Dar waliofurika katika usiku wa jana kuamukia leo ndani ya viwanja vya Lidaers Club katika tamasha la Fiesta Jipanguselilloandaliwa na kusherehesha vilivyo chini ya mdhamini mkuu.
Kampuni ya bia ya Serengeti , Nature ambaye alikamua na Lil Kim jukwaamoja alionesha kujipatia heshima nyingine pale nguli wa hipo hop alipo kuwa akimkamata katika hali ya mahaba
ambapo shazzz lililo tia timu katika makamuzi hayo lilionekana kushindwa kuamini kile kilicho oneshwa na Staa wa huyo wa kike kutoka Marekani .
Kufuatia hali hiyo kuendelea kufanyika ambapo some time Lili Kim alionekana kucheza zile sitaili alizokuwa akizifanya Nature ama kweli mashabiki walifaidi mengi .
Licha ya Orodha ya Mastaa wa muziki wa Bongo Fleva kupanda kuchana uku kila Staa aliyepanda kujitaidi kufanya mauwezo yote aliyonayo mbele ya mashabiki hao lukuki ,
hali ya mfuniko wa Nature ndio Talk of the Town kwa muda huu.
Na nafikiri kipaji cha huyo nyota wa kiumeni kwa kuendelea kupendwa mno na mashabiki ,
tangua enzi za Track zake za miaka iliyopita , wengi wanajiuliza kwa kuendelea kushaini kwa Nature.
Licha ya kuwa track kama ya Chegge Kuwa Juu isemayo mkono mmoja weka juuu ambao ni mkimbizo wa hatari .
Wasanii wengi waliimba vizuri japo mastaa wengine walionekana kupoteza mvuto kutokana na kutocheza na mashabiki kwa kutumia akili .
Akili ninayosema mie ni ile kama iliyofanywa na Mwana FA , ambaye alikandamiza kwa Ufaham mkubwa wa Akili za kucheza nao kifikra mashabiki wake.
Akili kama hiyo huwa anaitumia sana Prof Jay kutokana na nyimbo zake za nyuma kuwahi kutambulika vyema maskione mwa Watanzania waliowengi .
Na maranyingine niliwahi kuwaona wasanii watatu Mwana FA , AY na Fid Q katika tamasha moja liitwalo Inter College Bash ambapo siki hiyo walionesha kuvichezea kwa aina hiyo vichwa vya wanafunzi wa Elimu ya Juu ambapo huwa ni maalum sana tamasha hilo kwa wanafunzi wasomao Elimu hiyo ya Juu .
Mzuka wa tamasha la Fiesta shughuli ya jana ilikuwa ndefuuuu na shoo ya maana aliyotoa Lili Kim si rahisi kutoweka katika ramani ya wana hip hop Tanzania.

Comments