NI kitaa cha Kariakioo leo mchana midamida hivi , blog ilibambana na wasanii hawa wakwanza kulia ni mfanii TDX yeye ni mtu wa hip hop na pia ujuhusisha na masuala ya kuuza simu kitaa hicho na mwingine ni Sanday ama Linex ambaye kwa sasa anatrack yake hewani ikiitwa Mama Halima.
MDAU Machibya tupige picha ingawa nizoezi la haraka hara umetukuta tuko mishemishe za kibiashara lakini swala la upigwaji wa picha nalo ni moja ya zao leo la biashara siza blogu ama wasanii tunaitaji kushaini kila mara ilikuwashawishi wadau ... siunajua mjini hapa ndivyo walivyokuwa wakichonga washikadau hawa.
Comments