RAIS Jakaya Mrisho Kikwete akitoa Hotubayake kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Viwanja vya Jangwani leo.
NI katika Viwanja vya Jangani zilipo zinduliwa Kampeni kabambe za Uchaguzi , utakafanyika nchni haoa Oktoba 31 mwaka huu ambapo chama cha mapinduzi kilianza harakati hizo leo.
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wana CCM baada ya kurejea tena katika jukwaa baada ya kupewa matibvabu hata hivyo amelazimika kufungua swaumu yake.Akina mama wakilia kwa uchungu baada ya Mgombea wao wa urais kupitia chama cha Mapinduzi CCM. Dr . Jakaya Mrisho Kikwete baada ya Kuanguka ghafla wakati akihutububia wafuasi wa chama hicho jangwani.
Comments