MCHEZAJI tennis nguli anayeuguza mguu wake baada ya kuumia wakati akicheza tennis Serena Williams anaoneka mrembo huku akiwa na magongo yake.
Hali hiyo imemsababisha ashindwe kuendelea na mashindano hayo kwa muda wa miezi mitatu
Ijapokuwa ni mgonjwa lakini Serena anatoka na kwenda kutembea huku akiwa 'amejimake' kama vile si mgonjwa.
Serena aliripotiwa ameonekana akiwa katika matembezi akiwa amevaa gauni na blauzi nyeupe ambayo ilimtoa na kuoneka mrembo .

Comments