
NI moja ya yalio tuama kwenye barabara kolofi leo.

NI moja ya mtaa katika Wilaya ya Kinondoni majira ya saa kumi jione ya leo .

NI mtaro uliopo pembezoni mwa bara bara ya Azikiwe Posta Mpaya Dar es Slaam , Mtaro huo unaonekana ukiwa na maji , kutokana na mvua zilizo anza kunyesha majira ya sanne asubihi leo.
Comments