BAADHI ya mashabiki wa soka wakiwacheki wachezaji wa timu ya mpira wa miguu waTaifa ya Tanzania Taifa Stars Juzi asubuhi kwenye Uwanja wa Karume Ilala Dar es Salaam , Starz iliku mawindoni kujilinda na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Taifa ya Kenya
mchezo uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru matokeo dhidi ya mechi hiyo tukakuwekea baadaye.
Comments