Dk. Asha-Rose Migiro ambaye ni naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akibofya Kompyuta kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi wa Maktaba Mtandao wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) uliofanyika jana jijini Dar es salaam.
(Picha zote na Ofisa Habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Munir Shemweta)MAKAMISHINA wa Tume kutoka kushoto Kamishna Manyesha, Onel Malisa, Mohamed Ismail, Jaji Profesa Juma Mwenyekiti wa Tume na Katibu Mtendaji wa Tume Japhet Sagasii.
Comments