HUU ulikuwa ni mtanange wa katika dimba la Taifa ambapo timu za Simba na Yanga zilichuana katika mechi ya Ngao ya Hisani , hapa unaona mpira ukiwa umemalizikia na Yanga wakishangilia kwa Chereko Chereko baada ya Ushindi wa matuta kupatikana .
MASHABIKI wa Simba wakiondoko Uwanjani kabla hata penati ya Ushindi ya Yanga Kupigwa Prodyza Ally Baucha akiondoka katika Uwanja Huo ukumbele yake Tito Clementi amabye ni Meneja katika Studio ya Baucha akionekana kujifuta Usoni. Tayari pazi la LIgi Kuu limeanza leo na Tayari Simba inaongoza kwa bao Moja lililofungwa na Amir Mafutah dhidi ya Afican Lyon.
Comments