New England Umoja imeandaa show
kabambe ya kukata na shoka ya Professor Jay ...
akitumbuiza "live" katika ukumbi wa:MELROSE MASONIC TEMPLE326 MAIN STREETMELROSE, Mass.Jumamosi tarehe 7 Agosti, 2010 kuanzia saa mbili usiku mpaka saa nane usiku.Katika shughuli ya kuchangisha fedha kwa chama cha watanzania waishio New England yaani New England Umoja.Kiingilio ni $15.00 in advance
na $20.00 mlangoni.Shughuli ni watu na watu wenyewe ndio mimi na wewe karibu upate fleva za kibongo mwanzo mpaka mwisho.Kwa habari zaidi wasiliana na katibu wetu
bwana Salum Salum (617)308.2971Tunatanguliza Shukran!Isaac A. Kibodya, Esq.
Comments