Yes .... eee ebwana hapo vipi ni jinsi ya hali katika jiji la Mwanza inavyoendelea kuwa poa katika
hali za kimazoezi kujiweka mwili freshi.
hali za kimazoezi kujiweka mwili freshi.
PANDISHA Professional Fitness kwa ipo jijini Mwanza katika jengo la CCM Mkoani.
Wafanya mazoezi na mwenye vitambi ilini kimbilio sasa kajimwageni hapo.
Kuna kujiandikisha umemba na kuna kulipia kila unapoingia mjengoni.
Wafanya mazoezi na mwenye vitambi ilini kimbilio sasa kajimwageni hapo.
Kuna kujiandikisha umemba na kuna kulipia kila unapoingia mjengoni.
Mkurugenzi wa Pandisha Import Iddi Baka Pandisha (kulia) akiwa na Mhe. Law Lance Masha ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani huku akitetea kiti chake cha Ubunge wa jimbo la Nyamagana jijini Mwanza
Comments