FARAJA Kota katikati misezz Razaro Nyalandu pamoja na mumewe kulia wakiwa katika picha ya pamoja Mohammed Dewji aliyekuwa Mbunge wa Singida Mjini wakifurahi ushindi walioupata katika majimbo katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi kwenye majimbo yao, Faraja Kota aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2004 hivi sasa ni mama wa watoto wawili.Picha kwa hisani ya fullshangwe.blogspot.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments