
MNENGUAJI wa benndi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta akikita katika jukwaa hilo kiwanja cha Mango Garden

MIMI Machibya wa pili kutoka kushoto nikiwa na wadau usiku wa jumamosi iliyopita
mzuka mwingi tu ulionekana na wadau pichani wakiwa wamejiachia namna hiyo.

BAADA ya muda tukabambana na Lulu Semangodo ucheshi wake mwingiiii ukijinadi kuwa mwonekano wa makalio yake uko thabiti usifananishwe na makalio ya bandia yakichina ... ni makalio yake ya kweli.

NIKO na wadau mie Machibya wa mwisho kulia na katikati ni Benny Kinyaiya na mdau wa Twanga.
Comments