Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2010

Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Masasi na Nayumbu Leo

Baadhi ya makada wa Chama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Newala Mkoa wa Mtwara, wakiwa katika magari kwenye msafara wa kumsindikiza Mgombea Mwenza wa nafsi ya urais, Dk Mohamed Gharib Bilal, alipokuwa akitoka Wilaya hiyo kuelekea Wilaya ya Masasi leo asubuhi habari kwa hisani ya www.othmanmichuzi.blogspot.com

Chadema Yazindua Kampeni Wakazi wa Dar Watua Kwa Wingi Viwanja Vya Jangwani

MWENYEKITI wa chama cha CHADEMA , Freeman Mbowe akimkabidhi vitabu vya Ilani ya chama hicho kwa mgombea Urais wa chama hicho Mh Willbrod Slaa leo jioni katika viwanja vya Jangwani jijini Dar mara baada ya kuizindua. Wasanii wa muziki wa Kizazi Kipya Dani Msimamo (kushoto) na Mkoloni wakiwa jukwaani wakati wa uzinduzi wa kampeni. Wanachi waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa kampeni na Ilani ya chama cha CHADEMA katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.

Mbwana Apoteza Ubingwa wa WBC International

BONDIA Mbwana amepoteza kwa point ubingwa wa WBC international alipopambambana nchini Ukraine na kupata pointi 120-118,119-109 na 116-114 .

Precision-air-yazindua-Ndege-Mpya

MKUU wa Mkoa wa Kagera Mh.Mohammed Babu akikata utepe kama ishara ya kuzindua ndege mpya ya Precision ART 42- 500 iliyopewa jina la "Bukuoba" yenye uwezo wa kubeba abiria 48 ambayo itafanya safari zake kati ya Dar es salaam na Bukoba na kurudi Dar es salaam, ndege hiyo iliruka kutoka Dar es salaam kwenda Zanziar na kurudi kwa majaribio na inatarajia kuanza safari zake mwezi ujao, wanaoshuhudia katika picha kutoka kulia ni Jamal Hussein Afisa Mtendaji Mkuu Citi Bank, Allan Sharra Kaimu Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Precision Air na kushoto ni Rubani wa Ndege hiyo Chohan Mbarouk MENEJA wa Uhusiano wa Kampuni ya SCANAD Barnabas Lugisha akiwa na mmoja wa waalikwa katika ndege hiyo mpya ilifanya safari kati ya Zanzibar na Dar es salaam leo kwa ajili ya uzinduzi rasmi. picha na http://fullshangwe.blogspot

Staz Yakabidhiwa Vifaa

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo kulia Joel Bendela akipeperusha bendera ya Taifa Dar es Salaam leo na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji TFF Plassy Kiondo,na Shadrack Senzigwa wakati timu ya Taifa Star ilipokabidhiwa vifaa vya michezo na na Benki ya NMB jana,pembeni Rais wa TFF leodiga Tenga.

Serena Aoneka Mrembo Ndani ya Magongo

MCHEZAJI tennis nguli anayeuguza mguu wake baada ya kuumia wakati akicheza tennis Serena Williams anaoneka mrembo huku akiwa na magongo yake. Hali hiyo imemsababisha ashindwe kuendelea na mashindano hayo kwa muda wa miezi mitatu Ijapokuwa ni mgonjwa lakini Serena anatoka na kwenda kutembea huku akiwa 'amejimake' kama vile si mgonjwa. Serena aliripotiwa ameonekana akiwa katika matembezi akiwa amevaa gauni na blauzi nyeupe ambayo ilimtoa na kuoneka mrembo .

TCB na TSDU Kwa Pamoja Wameandaa Mafunzo kwa Wabunifu

Wabunifu wa Tanzania kufundishwa mbinu za biashara kuelekea katika Soko la Uingeraza. Wanunuzi wakubwa wa bidhaa za ubunifu kutoka Uingeraza kuonyesha mbinu za uuzaji. Swahili Fashion Week kwa kushirikiana na Tanzania Cotton Board (TCB) na Textile Sector Development Unit (TSDU) kwa pamoja wameandaa mafunzo kwa wabunifu wa Tanzania yenye lengo la kuboresha taaluma ya ubunifu hapa nchini. “Tunaamini kwamba baada ya mafunzo haya, wabunifu wa watanzania wataweza kutengeneza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu ambazo zitaweza kuuzwa sehemu yoyote. Pia kupitia mafunzo haya tunaamini kwamba wabunifu watapata habari muhimu zitakazowawezesha kuchangia moja kwa moja ukuaji wa sekta ya ubunifu Tanzania”. Alisema Mustafa Hassanali muaandaji wa Swahili Fashion Week. Mafunzo hayo yataendeshwa na Claire Hamer-Stubbs ambae anatoka katika kampuni ya Ei8ht (www.ei8ht.org), kundi ambalo limekuwa likifanya kazi zake nchini Uingereza. Warsha hiyo itafanyika katika Hotel ya New Africa kwa muda wa siku nne ku...

Vodacom Miss Tanzania Watembelea Ofisi za Vodacom Arusha,watoa msaada kituo cha waishio na virusi vya ukimwi

Vodacom Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald akimkabidhi msaada wa vyakula na fedha Katibu Mkuu wa Kituo cha watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi cha Tumaini Kilichopo Arusha, Richard Laizer ikiwa ni maadhimisho yake ya siku ya kuzaliwa aliyofanyika jana. Kwa niaba ya watoto wanaosoma katika kituo hicho ni mtoto Sweetmercy Emmanuel aliyepokea kwan iaba ya wenzake. Mkurugenzi wa Vodacom wa Kanda ya Kaskazini, Nguvu Kamando akifafanua jambo kwa warembo wa Vodacom Miss tanzania 2010 juu ya huduma ya mawasiliano kwa kutumia Video inavyofanya kazi wakati warembo hao walipotembelea ofisi za Vodacom Kada ya Kaskazini mjini Arusha jana habari hii kwa hisani ya othmanmichuzi.blogspot.com/

Mudau Hii ni Albamu ya Jahazi

Jayz na Beyonce Bado Wanasongesha Katika Penzi Lao

NYOTA wa muziki wa Hip Hop Jayz katikati akiwa na bibie mkali pia katika gemu la muziki Beyonce. HAPA wakiwa kwenye poziiiiii la ukweli ufukweni

TANGAZO LA ENZOY LINALO ONESHA UPATIKANAJI WA NGUVU ZA KIUME

http://enzoy.org/index.php?lang=EN PIGA NO O713827689, 0755074505 , au 0719 541366

TIMU YA TAIFA YA POOL YAINGIA KAMBINI KWA UDHAMINI WA BIA YA SAFARI

Kocha wa Timu ya taifa ya mchezo wa pool. Denis Lungu (katikati) akiwapa maelezo wachezaji wa timu hiyo kwenye kitabu wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika makumbusho Dar es salaam picha na www.burudan.blogspot.com

BIA YA KILIMANJARO YAINGIA MKATABA WA MIAKA MITATU YA UDHAMINI WA BONGO STAR SEACH

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akitangaza udhamini miaka mitatu wa shindano la Bongo Star Search katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Paradise jijini Dar es Salaam leo mchana. Kulia ni Mkurugenzi wa Benchmark Production picha na www.burudan.blogspot.com

More Than Pain Mbioni Kutinga Sokoni

Mtazame Shabani Kama Baba!

SHABANI Iddi Baka (kulia) akijifua kwa mazoezi ya mchezo wa Kick Box katika kipindi cha Summer nchini Denmark.Pia , Iddi Baka Pandisha amewahi kuwa bondia miaka sasa na kupata kung'ra.

CCM y Yazindua Kampeni Leo Jangwani Dar es Salaam

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete akitoa Hotubayake kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Viwanja vya Jangwani leo. NI katika Viwanja vya Jangani zilipo zinduliwa Kampeni kabambe za Uchaguzi , utakafanyika nchni haoa Oktoba 31 mwaka huu ambapo chama cha mapinduzi kilianza harakati hizo leo. RAIS Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wana CCM baada ya kurejea tena katika jukwaa baada ya kupewa matibvabu hata hivyo amelazimika kufungua swaumu yake. Akina mama wakilia kwa uchungu baada ya Mgombea wao wa urais kupitia chama cha Mapinduzi CCM. Dr . Jakaya Mrisho Kikwete baada ya Kuanguka ghafla wakati akihutububia wafuasi wa chama hicho jangwani. WANACHAMA wa chama cha Mapinduzi CCM. Wakisikiliza Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kwenye viwanja vya Jangwani.

Ligi Kuu Bara Yaanza Leo

HUU ulikuwa ni mtanange wa katika dimba la Taifa ambapo timu za Simba na Yanga zilichuana katika mechi ya Ngao ya Hisani , hapa unaona mpira ukiwa umemalizikia na Yanga wakishangilia kwa Chereko Chereko baada ya Ushindi wa matuta kupatikana . MASHABIKI wa Simba wakiondoko Uwanjani kabla hata penati ya Ushindi ya Yanga Kupigwa Prodyza Ally Baucha akiondoka katika Uwanja Huo ukumbele yake Tito Clementi amabye ni Meneja katika Studio ya Baucha akionekana kujifuta Usoni. Tayari pazi la LIgi Kuu limeanza leo na Tayari Simba inaongoza kwa bao Moja lililofungwa na Amir Mafutah dhidi ya Afican Lyon.

CHekiiiiiii Huyo Aliyeketi Kashika Nini Tena !!

TAZAMA washikaji hawa wa muziki wa Bongofleva aliyesimama ni Chege na Temba kwani vipi tena Mbona Temba Ameshika .... mkononiiii. Hacha kabisa muziki wao mbona upojuu wanameki mikwanja ya shoo na uuzaji wa albamu na hapo wamepozii.

Ni Anga za Jukwaa la Sanaa : Tuzungumze

KATIKA Jukwaa la Sanaa Jumatatu ijayo ya Tarehe 23, Agosti, 2010, Jopo la Wataalam Kutoka Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) litafafanua na kuwajengea kichwani Wasanii na wadau wote wa sanaa elimu na mkakati kapambe wa Kurasimisha Sekta ya Sanaa Nchini. Lengo ni kurasimisha Rasilimali na Biashara za Sanaa nchini ili kuwapa hadhi wasanii na wadau wa sanaa, kuwawezesha kukopesheka kwenye taasisi za kifedha, kuwafungulia mianya ya kibiashara na kikazi,kuwapa fursa ya kuongeza pato binafsi na lile la Taifa, kushiriki kwenye matukio mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, kubana makanjanja kwenye fani ya sanaa,kuwaandaa wadau kwa ajili ya soko la pamoja la Afrika Mashariki na masuala mengine kibao. Wasanii na Wadau wa Sanaa hawana budi kuja kwa wingi Kuanzia saa 4 Asubuhi kwenye Ukumbi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ulioko Ilala Sharif Shamba (Shuka Ilala,Bungoni kisha ulizia ilipo BASATA au Chuo cha DSJ) ili kufaidi mwanya huo na Jopo la Wa...

Jezi Zilizo na Maandiko ya Shabiki wa Simba Wakweli Ziliuzwa hapa

HAPA ni nje ya Uwanja wa Karume jana mchana eneo la Ilala jijini Dar es Salaam , ambapo jezi za Simba na Yanga zilikuwa zikiuzwa sambamba na Vuvuzela.

Asante Aden Rage Jengo Linang'ara Msimbazi

NIMJENGO wa wekundu ambapo sasa ukipita barabarani linamvuto , mashabiki wamesikika kukushukuru kwa hilo , alisema kijana mmoja jana mechi ya watani wa jadi ilipomalizika kwa simba kufungwa kwa matuta katika mechi ya Ngao ya Hisani. HEKA heka za Uwanjani jana , hapa mashabiki walikuwa wakiingia Uwanjani. MASHABIKI wakiarakisha katika kucheki mtanange wa watani wajadi timu za Simba na Yanga jana.

Dili la Machinga Eneo la Morocco !

NI eneo la Morocco jijini Dar es Salaam , ambapo baadhi ya wamachinga uuza mitumba kuanzia jioni mpaka mida ya saa tatu usiku hapa ni muda mchache tu uliopita jioni hii.

Wateja wa Vodacom Kupiga Simu Saa 24

Wateja wa Vodacom Tanzania sasa wataweza kupiga simu kwa masaa 24 kupitia huduma yake ya Habari Ndiyo hii baada ya Vodacom kuboresha huduma za mtandao wake. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba alisema Jijini kwamba uamuzi huo unatokana na ahadi waliyoitoa mapema mwezi Machi mwaka huu kwamba baada ya kufanya maboresho ya mtandao wake Vodacom Tanzania itawawezesha wateja wake kuongea kwa masaa 24 kwa bei ya shilingi moja kwa sekunde. “Tuliwaahidi wateja wetu wakati wa uzinduzi wa huduma hii kwamba baada ya kukamilisha maboresho ya huduma za mitambo yetu tutawezesha wateja wetu kuongea kwa masaa 24 kupitia huduma yetu hii ya Habari Ndiyo Hii na sasa muda wenyewe ndiyo huu” Alisema . Vodacom Tanzania ilizindua huduma hiyo mwezi Machi mwaka huu. Alifafanua kwamba hivi sasa Vodacom Tanzania imeboresha huduma zake za mtandao wake na kwamba wateja wa Vodacom wanapata huduma bora bila kikwazo chochote. “Tumeboresha huduma zetu, na sasa wateja wetu wanapata huduma bor...

Groove Back

TASWA YAPATA VIONGOZI WAPYA

uongozi mpya wa taswa. Chama cha waandishi wa habari za michezo taswa kimefanya uchaguzi wa viongozi wapya baada ya uongozi wa zamani kumaliza muda wake wa miaka mitatu kama katiba inavyotaka . Katika uchaguzi huo viongozi waliochaguliwa ni MWENYEKITI JUMA PINTO. MAKAMU MWENYEKITI. MAULID KITENGE. KATIBU MKUU AMIR MHANDO. KATIBU MSAIDIZI GEORGE JOHN HAZINA. SULTAN SIKIRO CHANZO NI WWW.JANE JOHN.BLOGSPOT.COM MSAIDIZI MOHAMED MKANGARA KWA UPANDE WA WAJUMBE NI. ELIUS KAMBIRI GRACE HOKA ZENA CHANDE ALFRED LUCAS OSMAN KAPINGA SALUM JABA

D.O.L.N. (Death Of Live Nation?)

By Cedric Muhammad Is Live Nation at death’s door, as some recent media reports may have us believe? Not quite. You can put the electrical defibrillator away for now, but don’t let the doctor leave the room, yet. As many of you may know from reading my writings at AllHipHop.com or elsewhere I believe that one of the most important lessons for this generation and culture to learn is that the music industry does not represent the highest level of business activity. And those who think that radio stations , record labels, management companies, and cable channels are the most powerful forces that influence what artists say and do, and who makes money or no...