JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA USAJILI WA NAMBA ZA SIMU ZA MKONONI 1. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitoa agizo kuwa nambazote za simu za mkononi zisajiliwe kati ya Julai 1 2009 hadiDesemba 31, 2009; na baadaye muda huo kuongezwa hadi tarehe30 Juni 2010 ikitamkwa wazi kuwa muda huo wa ujasilihautaongezwa tena. Sababu za kuanzisha utaratibu wa kusajilinamba za simu zimeelezwa mara kadhaa zikiwemo:(i) Kuwalinda watumiaji dhidi ya matumizi mabaya ya huduma zamawasiliano(ii) Kuwezesha na kurahisisha utambuzi wa wateja watumiapohuduma mbalimbali kama M – Pesa, Z-pesa, ZAP na hudumanyingine za malipo ya Ankara kama za Umeme, Maji,Televisheni n.k.(iii) Kuimarisha usalama wa nchi.(iv) Kuyawezesha makampuni ya simu kuwafahamu wateja waovizuri zaidi ili kurahisisha na kuboresha utoaji wa hudumakwao.2. Wakati tunakaribia tarehe 30 Juni 2010, utaratibu umepangwakupitia Makampuni ya simu kuwa kuanzia tarehe 1 Juni 2010kuhakikisha laini yoy...