Mane knows he will have numerous options at top clubs in the summer, when Southampton will listen to offers Manchester United imeshindwa kumsajili mshambuliaji wa Southampton Sadio Mane mwezi huu. Louis van Gaal anataka kumsajili nyota huyo wa Senegal katika dirisha la Januari ili kuboresha safu yake ya ushambuliaji ambayo imepwaya kupita maelezo. Inasemekana maofisa wa United walibisha hodi
Southampton wiki hii kujaribu kuwasilisha ombi lao la kumyakua Southampton.
Lakini Manchester United wameambiwa hakuna biashara inayoweza kufanyika dirisha hili juu ya Sadio Mane labda kwa dirisha la kiangazi. Manchester United have failed in their bid to bring in forward Sadio Mane during the January transfer window Manchester United imenyimwa kumsajili Sadio Mane Southampton have rejected United's advances for the 23-year-old but will listen to offers in the summer Southampton imeigomea United kumyakua Sadio Mane United manager Louis van Gaal wants to add to his forward line with Mane seen as an ideal addition Kocha wa United Louis van Gaal anataka kusajili mshambuliaji mpya.
Comments