Golikipa wa Simba SC Peter Manyika jana alikuwa kivutio uwanjani
akiwa na mpenzi wake wakati wakishuhudia mchezo wa Azam Sports
Federation Cup kati ya Yanga dhidi ya Friends Rangers kwenye uwanja wa
taifa mchezo uliomalizika kwa Yanga kusonga mbele kwa mabao 3-0.
Hizi hapa ni picha ambacho zilinaswa na camera ya shafihdauda.co.tz
‘Timu ya Ushindi’ iliyokuwepo uwanja wa taifa kunasa matukio kadhaa.
inatoka www.shaffihdauda.co.tz
Comments