Soma Sani.Jarida Sasa ni kila Jumatano na si Jumatatu.
Tumesikiliza
maombi yenu wasomaji na wapenzi wa Sani.Jarida lenu Sani Katuni sasa ni
kila Jumatano na si Jumatatu. Usikose nakala yako iliyoboreshwa na
kuongezwa kurasa kwa bei ileile ya Tsh, 1,000/= tu upate burudani
isiyopatikana kwingineko duniani!
Comments