Blog za Nigeria zimetoa mitazamo tofauti kuhusu ubora wa msanii Tiwa
Savage kwenye stage baada ya kujifungua na kusema bado hawajaona ubora
wake wa awali.
Tiwa Savage kwa sasa yuko barabarani akifanya show kwaajili ya kutangaza album yak mpya ya “RED” .
Tiwa Savage aka Mavin Queen, African titan, urban tastemaker, pop
darling ametumia nguvu nyingi kutangaza album yake mpya ya “RED” na
kufanya mazoezi ya kufanya show kali tena.
Wakati wa ukimya Tiwa alitumia muda wake kurekodi album yake na
kujianda kulea mtoto wake, pia wakati huu muziki wa wasanii kama Yemi
Alade na Seyi Shay ulipata nafasi kubwa kwneye maisha ya Wanigeria.
Comments