Kiungo wa Chelsea Ramires amejiunga na klabu ya China Jiungsu Suning kwa mkataba wa kudumu, klabu ya Ligi Kuu imetangaza.
The Blues ililipa pauni milioni 18 kwa Ramires mwaka 2010, alisaini mkataba wa miaka mine mwezi Oktoba.
Lakini Mbrazil, 28, hajaanza kikosi cha kwanza Ligi Kuu tangu kipigo
cha 2-1 na kutoka kwa Leicester City Desemba 14 na hivyo kutimkia China
kwa pauni milioni 25.
Historia ya soka ya Ramires
Joinville (2006) – 14 mechi 3 magoli
Cruzeiro (2007-09) – 85 mechi 16 magoli
Benfica (2009-10) – 42 mechi 5 magoli
Chelsea (2010-2016) 242 mechi 37 magoli
Brazil (2009-) – 52 mechi 4 magoli
Comments