Waigizaji walioigiza kwenye filamu ya “Straight Outta Compton”
hawajakaribishwa kwenye tuzo za Oscar na hata mtayarishaji wa filamu hio
Ice Cube hajapata mualiko.
Inasemekana hata Ice Cube angealikwa asinge hudhuria tuzo hizi ambazo
zimepondwa mwaka huu baada ya waigizaji wengi weupe kuwania tuzo hizi
kuliko weusi.
Ice Cube atahudhuria tuzo za SAG na NAACP ambazo zote zimeweka filamu ya “Straight Outta Compton” kwenye tuzo zao.
Comments