Msanii kutoka Nigeria Mc Galaxy anategemea kuwepo kwenye wimbo wa
mtoto wa Michael Jackson ‘Brandon Howard’. Galaxy alionekana na kundi la
marafiki wa Brandon Howard na yeye mwenyewe.
Mc Galaxy ametajwa kuwepo kwenye wimbo mpya wa Brandon Howard
uliorikediwa hivi karibuni nchini Marekani. Mpaka sasa MC Galaxy
ameshafanya collabo na Busta Rhymes.
Comments