Bondia Floyd Mayweather ni miongoni mwa wanamichezo matajiri zaidi
duniani, May 02 2015 amefanikiwa kutengeneza zaidi ya dola milioni 150
kwenye pambano lake dhidi ya Manny Pacquiao ambalo aliibuka mshindi kwa
points.
Hii ni collection ya magari ya Mayweather katika magari yake 50 yenye thamani kubwa.
Comments