.
Bado hawajaongea rasmi kuhusu penzi lao ila mpaka sasa wachambuzi wa mambo wamepigia mstari kuwa Ali kiba na Jokate ni wapenzi.
Jibu hili wamelipata kupitia picha tofauti wanazotuonyesha wawili hawa kwenye mtandao wa instagram wakiwa wawili.
Je picha hizi ni kuwatingisha tuu mashabiki, kuna project wanafanya , ni video, Tutafahamu soon
Comments