NI usiku wa malove davie kwa wapendanao na marafiki Flava Nite February 13 ni Jumamosi ya kesho disko la nguvu kwa watu wa ukweli litarejesha matumaini makubwa ya shangwe kati yako na yule umpendaye njoo upate kukumbushwa mengi ya kale toka enzi zile Olds School Hip Hop chini ya mkali dj Boniluve na Dj Mackay vijana wengi pia katika miziki mipya wataguswa pindi track kali sitakapo chezwa , Dar es Salaam itabadilika ni Kiingilio cha buku 5 tu Flava Nite mzukaaaaaa.

Comments