JANA usiku wa saa moja , nilipigiwa simu na Luteni Kalama akiwa maeneo ya Vaticani Sinza Dar es Salaam
nilipofika jamaa tulichonga mambo mengi tu .
Neno la kwanza alisema nimekuita Francis Machibya kukueleza kuwa nimejitoa kundini , nilipatwa na mshangao na ndipo topiki zikazungumzwa za yeye kujitoa kundini, 'naanza kusaka mafanikio mapya nikiwa nimejitioa katika kundi la Wanaume Halisi nimefikia uhamuzi huo mimi na mdogowangu 'Malipo' wote kwa pamoja hatuko katika kundi hilo.
Mimi Machibya nilikumbuka kauli ya AY alivyoniita miaka ya nyuma sasa nyumbani kwake kijitonyama na kuwakuta wasanii wenzake mmoja wapo akiwa Sinare ambao wote usanii wao walianza nao wakiwa Sekondari ya Ifunda , katika maongezi gafla Ay aliingiza topiki ya kutoingiza sokoni albamu kwa kuwapelekea wadosi.
Ambapo Sinare na Buf -G walisababisha nikatoka usiku ambapo Sinare kwa pampja walinileta mpaka Msasani Namanga.
Kwa kile walichokuwa wakikipinga kususia kwa Ay soko la muziki kwa ajili ya wadosi wanaopelekewa albamu za wasanii kutoa ujira mdogo na kibuli cha Ay kilisikika kwa kishindo ni msanii wa kwanza kuwatosa wadosi .
Nilitoka na kuandika katika Gazeti moja atiko yake na siku si nyingi atiko kuhusu hiyo inshu zilimwagika kama mvua.
kweli wadisi waliziona kwani Ay juzi tu aliniambia alishafuatwa na wadosi kulekebishwa maswala yake na bidhaa zinaingia sokoni kweli maisha ubishi bishana.
Kalama amefika uamuzi wake huo akieleza blog hii kuwa tayari wameisha anza kujikita kivyao akiwa na mdogowake Malipo .
Natayari wamefanya traki kadhaa katika miji ya Dar na Mombasa
Comments