Kiungo wa kimataifa wa Ghana na Klabu ya Chelsea ya England , Michael Essien amewasifia wachezaji
wenzake wa Ghana kwa kiwango bora walichokionesha katika fainali za 27 za Kombe la Mataifa ya Afrika.
Katiak fainali hizi zilizo pigwa nchini Angola Januari 10 hadi 31.
Licha ya kukosekana nyota wake wazoefu akiwemo Essien na Steven Appiah Ghana ikisheheni chipukizi ilionesha kabumbu safi chini ya
kocha Milovan Rajevic .
"Zilikuwa ni fainali zenye mvuto hasa kwa upande wa Ghana ,"alisema Essien .
Timu hilikwenda Angola ikiwa na majeruhi ukuwengine wazoefu wakishindwa
kuwamo kutokana na majeruhi, likini timu bado ilifika fainal.Alisema kiungo huyo.
Aidha ameimwagia sifa chama la Misiri kwa kuwa timu bora kwa kutwaa kombe hilo ,
hata hivyo Essien alicheza mechi moja dhidi ya Ivory Coast kabla ya kujitonesha
katika mazoezi ya kujiwinda na mechi ya Bikinafaso hali iliyosababisha kiungo huyo
kurejea Ingland.

Comments