Skip to main content

Kuanzia sasa Blog yetu itakuwa kila wiki ikikuletea mada moja ya mapenzi pia mwaswali juu ya maisha na mahusiano yatajibiwa. Karibuni sana yote kuonesha jinsi gani tunawajali wasomaji wetu. Wiki hii tutaanza na mada hii:


 


HIKI NI KICHAA CHA MAPENZI

Tumekutana tena kwenye kona yetu tuipendayo ya maisha na mahusiano ili kujuzana machache kuihusiana na maisha ya kila siku leo nataka kuzungumzia kichaa cha mapenzi kwa wanafunzi, hii imetokea baada ya kupokea simu nyingi za wanafunzi waliojiingiza kwenye mapenzi na kusahau kuwa wapo katika masomo . Najua kila mmoja amepitia hatua hii ambayo mwanadamu huanza kujengeka kimuhemko ambao humuandaa kwa ajili ya kufanya tendo la ngono.

Kila mwanaume anapo barehe huanza kuwa na tama ya kufanya ngono hasa anapoziaona sehemu zinazomshawishi kufanya ngono kwa mwanamke.




 
Mwanaume akiisha barehe akiziona sehemu za mwanamke kama matiti mapaja mgongo ukiwa wazi makalio yaliyovimba. Na baadhi ya mwili wa mwanamke ambao una kishawishi cha ngono kwa asilimia tisini.

Kwa msichana naye akiisha vunja ungo huanza kupata mihemko hata mwenyewe akijishika baadhi ya sehemu uhisi kuitaji kutu furani ambacho si kingine ni kufanya ngono. Msichana anapojisugua sehemu za siri au kwenye matiti ambayo huwa na maumivu ya mbali ukiyakanda hupunguza muwasho.

Vitu hivi vimekuwa vikiwafanya wasichana wengi wasio na uvumilivu kuanza kutafuta mtu wa kumpunguzia vitu vinavyo msumbua au mwanaume kutafuta msichana kwa ajili ya kufanya naye mapenzi.

Katika kufanya uchunguzi wangu wa kina nimegundua pamoja na hali hiyo vipi vitu vinavyo waingiza vijana kwenye ngono kabla ya wakati wapo, kimoja ni tama ya kutaka akiwa shuleni naye awe na baddhi ya vitu vilivyopo nje ya uwezo wake ambavyo humfanya ajilahisi kwa kuutoa mwili wake. Hata wanaume ambvao kwa sasa wamekuwa wakisakwa na mama Sukari kwa kuwahonga na kufanya nao ngono kwa kugeuzwa chombo cha starehe.

Pia wapo wanaoingia katika mtandao huu kwa kufuata mkumbo kwa kupenda kusikiliza simulizi za ngono kwa watu wenye tabia hizo naye kujaribu kutokana na kusikia sifa ya kitu kile bila kujua muda wake bado. Wengine kuangalia picha za ngono ambazo humfanya apate muhemkona kujikuta akitafuta wa kumtuliza muhemko wake.

Lakini vitu hivi wenawezekana kabisa kuvishinda kwanza lazima ujijue una umri gani nini madhara ya kufanya mapenzi katika umri mdogo. Pia kujua nini malengo yako katika maisha ngono na elimu nini kitakacho kubeba hata kama wazazi wako wamekufa.

Tatu kuijua thamni ya usichana wako au uvurana wake kwa kujitunza ili siku moja ufikie Marengo yako.

Kwa mwanamke ambaye ndiye aliye katika kundi baya la kuathirika kama ataendekeza ngono jivunia kukutwa bado msichana japo kwa sasa ni jambo gumu kama kuliona jua saa mbili usiku. Kumbuka kosa lako moja linaweza kukuharibia mfumo mzima wa maisha.

Jiepusheni na vitendo ambavyo mnaamini ndivyo zitakavyo kufanyeni muonekane mnakwenda na wakati. Kufanya ngono katika umri mdogo kuna hasara nyinmgi mojawapo mkuunguza maysai ambayo huungua na kukufanya uwe tasa.

Pia kuvuruga ndoto zako ambazo zinatakiwa uvumilivu na kujiepusha na chochote ambacgho unakiona kitakupotosha na kukuvurugia Marengo yako. Kama mtayafuata haya machache hakika mtashinda na kufikia Marengo yenu.

Kwa maoni maswal;I au majibu nitwangie kwa simu 0713 646500 au Email: ambedkt@yahoo.com

LOVE MASEJI.

*Nimekubali kuwa mateka katika moyo wako kifungo cha mapenzi ndiyo maisha yangu ya kila siku, nakuomba mpenzi usifikilie kunitoa kifungoni hukumu yangu iwe ya maisha.

*Najikuta nikitabasamu moyo wangu unajaa fulaha na kuzisahau shida zangu, ni nini ulichoupa moyo wangu na kukufanya kuwa kimbilio ya matatizo yake. Hakika nitalilinda penzi lako ili niendelee kuifaidi pepo ya dunia.

*Kuyakumbuka yaliyopita ni kuiumiza mioyo yetu yaliyopita yamepita iliyobaki tugange yajayo, kila ukumbukapo jambo zuri huwa ni furaha lakini baya huwa ni hudhuni. Tujitahidi kutenda mazuri na kuyaacha mabaya ili tuendelee kufurahia penzi letu.







 

MAPENZI KWANZA NGONO BAADAE



Naamu nina imani wote mu wazima kwa uwezo wa Mungu hasa tukizingatia wote tumefanikiwa kufika Siku nyingine ya leo una kila sababu ya kumshukuru muumba kwa upendeleo aliokupa kuingia wiki nyingine.

Kama kawaida tumekutana tena kwenye mada yetu nyingine kama inavyo someka kwenye kichwa cha habari hapo juu.

Nimepokea maswali mengi kutoka kwa vijana au wanaoanza mahusiano kwa kuona wapenzi wao hawawapendi kutokana na tabia ya kuzungushwa kupata chakula cha mwili yaani tunda.

Moja ya swali linasema hivi:

Brother nina mpenzi wangu ambaye tunapendana sana na makusudio yetu kuwa mke na mume na siku moja niitwe baba na mwenzangu mama.

Lakini tatizo moja mwenzangu nashindwa kumuelewa kila ninapomuomba tufanye mapenzi ananizungusha mara hivi mara vile nikimng'ang'ania utasikia eti nisubili hadi tuoane. Eti Brother kweli yule mwanamke ana mapenzi na mimi? naomba msaada wako.

Nina imani kila mmoja swali amelisoma kinachosubiliwa ni jibu langu nami sina hiyana nitalijibu kama ifuatavyo

Katika mapenzi ya sasa yametawaliwa na ngono kwanza ndipo kitu kingine kufuata, pia imeonekana usipopata kuujua mwili wa mwenzio hakuna mapenzi ni sawa?

Hebu kwanza tuangalie nini maana ya mapenzi?

Mapenzi ni upendo utokao moyoni mwa mtu wala si kuvuliwa nguo na mtu. Sijui kama nimeeleweka hapo,nina maana gani?

Ngono si upendo bali upendo wa kweli upo moyoni kwa mtu na siku zote apendae ni mvumilivu wala hatangulizi ngono mbele. Kwa vile anajua yule ni mpenzi wake hana sababu ya kumnyima mwili wake ni mali yako kwa kuwa hata katika vitabu vya Mungu vinatuambia.

Mwanaume hana mamlaka juu ya mwili wake bali mumewe vivyo hivyo mwanamke hana mamlaka juu ya mwili wake bali mumewe. Vile vile imetusisitiza pale iliposema tupeane tusinyimane mpaka pale tutakapo taka kusali ili kumfukuza shetani asitunyemelee na kutufanya tumuhasi Mungu.(Kwa wanaokaka kusoma Wakorintho 2:7- 10)

Nina imani mmeona kuwa jambo la kupeana haki hata vitabu vya Mungu vinajua.Lakini kinachotangulia ni upendo suala la haki ya ndoa ufuatia baadae.Najua wapo wasiokubaliana nami kwa kuona bila ngono hakuna mapenzi.

Nikikuuliza swali hivi wanao jiuza mwili wanawapenda wangapi?jibu lazima utaona yupo kwenye biashara waka hana mapenzi na mtu.Kwa jibu hilo utajua ngono si penzi kamili.

Nachukua furusa hii kuwasifu wote wasichana wanao jua thamani ya miili yao kuwajua wanaume wasio wakweli walio tanguliza ngono mbele hao hawana mapenzio ya kweli bali penzi lake ni la kukutamani na akiisha jua mwili wako mapenzi yamekwisha.

Mwisho napenda kuwashasuli wote wenye mapenzi ya kweli wasitangulize ngono mbele bali itakuja kwa sababu huyo ni mpenzi wako kama kweli anakupenda haki yako ya ndoa lazima atakupa kama hatokupa hapo una haki ya kuonma hakuna mapenzi asipokupa wewe mpenzi wake anampa nani?.

Kwa hayo machache tukutane wikio ijayo kwa maoni maswali au ushauri nitwangie kwa Tel: 0713 646500 au Email:ambedkt@yahoo.com





Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them ...

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

LEO NI BUNGE LA BAJETI

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo. -WANANCHI WATAKA IPUNGUZE UKALI WA MAISHA MACHO na masikio ya mamilioni ya Watanzania na wadau wa nje, leo yanaelekezwa Dodoma ambako Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2011/12 itasomwa.Wananchi wengi wamekuwa na shauku ya kujua mwelekeo wa bajeti hiyo hasa katika kipindi hiki ambacho wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha iliyotokana na kupanda kwa bei vyakula na bidhaa za mafuta. Kwa takriban wiki nzima iliyopita, baadhi ya wananchi wamekuwa wakituma ujumbe mfupi wa maandishi kwa simu katika vyombo vya habari, wakiisihi serikali kuhakikisha kuwa bajeti ya mwaka huu inawaondoa katika hali ngumu ya maisha. Bajeti hiyo itakayosomwa bungeni na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo itatangazwa kwa wakati mmoja na bajeti za serikali za nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), katika mtazamo wa kuimarisha mshimakano na umoja wa nchi hizo. Kwa kawaida na mazoea ya muda mrefu, baj...