Skip to main content

HAPA NI VIOJA VYA WEEK HAND NI MUZUKA KWA KWENDA MBELEE !!


MAKALI ya kuchengua katika mduara unaoporomoshwa na ma dj mahiri Dj Bon Luv na Mackay sambamba na Dj Oscar , kwa sasa mpango mzima unaumiza ilembaya kwani muda wa mduara ukifika msitari ausogea. Binti mkali katika ujezaji wa muziki huo ni kawaida kuibuka na Shampeni kila Jumamosi wasitaharabu wa naojua mzuka huo si rais kukosa katika mjengo wa Milleniu Tower Kijitonyama hapa Bongo.





Comments