Skip to main content

EBWANA MCHABO DJ HUYU.

DJ huyo ameteka jiji la Dar katika kijimuda cha jionio jua kuzama anatwanga mangoma ya kweli kiasi sasa ukusogea maeneo ya maduka utasikia makamuzi yake kupitia redio za madukani uswahilini na kwingineko kipindi chake kinaitwa Bongo Dot Home  kupitia mawimbi ya Redio Times Fm , ni mtu wangu wa karibu sana sio ,  nilikuwa namuona mara kwa mara nikiwa nasoma Shule ya Msingi Nyakabungo ,Shule iliyokaribu na Mlima wa Machemba jijini Mwanza  alikuwa akifika kwa king Kif Nigga ndipo nilipo mfahamu kabisa .

Walikuwa wakiwasiliana katika stori za michongo na mara kwa mara Juce aliwahi kupiga Chake chake disko ilatu  nihabari njema kwao na jamaa ni mababu kubwa wa U dj ilembaya kaka ake kwa sasa ni moja wa viongozi wa redio Times FM na pia mble Ulaya anakaka ake aitwaye Dj Habib ambaye moto wake utaweza kuukumbuka katika lile disko liliofahamika kwa jina la Power Four ....
na kubamba jiji zima kwa mtikisiko wa kufa mtu.
kabla ya kutambaa mbeleee.
Miaka hiyo naanza kumfahamu stali za kuimba yaani kuchana ma mc wengi walikuwa wanabomoka Lugha Kigeni hata mayank waliopenda michano mkuuu sikudanganyi walikuwa hawana dalasa kubwa la kisomo
lakini jukwaa lilitawaliwa kwa ngeli na hata vijiweni watu walikuwa wakiongea ngeli.

Namkumbuka kaka Adamu Engneer alikuwa akisoma Pale Lake Sekondari ni kati ya wachache nilio wafahamu , alijiachia sana na watotozzz na lilikuwa ngeli linashushwa mkuu ngeli watoto wa kitaa walikuwa wanatambaa nalo kama hujui sasa ulikuwa utaimba niii.

Hapa sasa Dj Juice anazungumza na Dar kila leo , hii ndio maana ya kuwa mkali katika anga ukoo babu kubwa katika mipango hiyo na mara kibao tu Juice uanza bila ya kuwa na papala anatwanga miziki ya kale Hip Hop ,Zouk , Boringo, ni madj wachache sana wanaoweza kutambaa na nyimbo zoteeeee.

(Pichani) hapo ni eneo la Times FM ilikuwa mchana na likuwa napiga naye sitori uku gari la kaka yake Aman Missana likiwa kwenye maegesho ya redio hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. SÅ‚awomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...