Disko la Groove Back liliendeshwa kwa utulivu
na ufundi usiku wa wapendanao , Dj Peter Moe (Pichani) akiwajibika mahala hapa ni maeneo ya karibu na Morocco katika barabara ya Ali Hasani mwinyi Dar es Salaam.
Kawaida kuwa na madj watatu Dj Rankim Ramadhani na &Kelvin Twisa.
Comments