Pichani ni Daud wakwanza kulia akiwa na Matheo
katika ukumbi wa Zoghua Garden , ukumbi uliopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi Dar es Salaam.
Pichani ni Dj Bike akiwa na kulia ni Dj White wote hawa ni madj katika vipindi vya muziki Redio One ya Jijini Dar es Salaam.
Hapa wakiwa katika mitoko ya usiku Jumamosi iliyopita Zhonghua Garden katika disko maarufu la Groove Back.
Comments