ULIKUWA ni usiku wa miujiza jana Nyota ya uimbaji wa TID iliwafanya mashabiki wake kulia machozi .
Alianza kuimba na kulitawala jukwaa hapo hapo tu alipowasalimia mashabiki, hali halisi inajionesha kattika (Picha Hizi).
Hapo TID alipo fuatwa jukwaani na binti shabiki wake usiku huo , huyo aliyecheza mpaka baaaasiii.
Haikuishia hapo muzuka wa msanii wa Hip Hop Chid Benzi uliingiza hisia zingine na ukumbi kumbi kuonekana kuzidi kuwa mdogo , Chid aliingia stejini kumsalimia TID na kuwapa hi mashabiki wa TID lakini kilichotokea hapo weacha tu , aliimba dakika 10 tu , akiimba kwa kutumia Live Band ya msanii TID Top Band..
TID jana usiku akiwa na Rich One (Pichani).
TID alipoanza makamuzi yake jana usiku Club Masai Kinondoni.
Comments