ROBERT Augustino 'Kiwewe'na Tumaini Martini 'Matumaini'ambao uonekana katika Taasisi ya utangazaji nchini( TBC 1), kupitia kundi la maigizi liitwalo kaole kila siku ya jumatano saa 3:00 usiku na kurudiwa siku ya jumamosi.
Wakizungumzaa na Blog hii, jana jioni kwenye Bonanza la wasanii wa filamu linalo fanyika kila mwisho wa wiki , wamedodosa kuwa .
Wamekamilisha kurekodi ujio wa Comedy yao iitwayo 'Tifu Tifu' na siku si nyingi itakuwa imetinga kima huzo katika miuka ya muziki nchini.
Comments