MMENEJA Promosheni wa Tigo Redemptus Masanja (Kushoto) akimkabidhi kitita cha Milioni moja Bwana Imani Kayange wa Kiwalani Rumo kama zawadi yake ya Tigo Bwerere leo jijini Dar es Salaam katikati ni meneja uhusiano Jackson Mmbando akitazama Inshu hiyo.
Tigo leo imekabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni ya Tigo bwerere iliyoanza mapema January 2010
Akizungumza na waandishi wa habari Afisa Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando kasema Tigo bwerere inaendelea kufurahisha na kuwatimizia baadhi ya watanzania malengo yao kimaisha kwa kuwapatia zawadi bwerere na zenye manufaa kwao
Leo tunakabidhi zawadi kwa washindi wawili wote wa mkoa wa dar es salaam ambao ni Mariana Amos mkazi wa Gongolamboto, Imani Kayange mkazi wa Kiwalani Rumo
Promosheni hii ya Zawadi BWERERE inatoa nafasi kwa kila mteja wa Tigo
Kama unabisha au hauamini jaribu kushiriki sasa na utahakikisha mwenyewe kuwa ukiwa na Tigo kushinda ni lazima!
Kama unataka zawadi kabambe kupitia promosheni ya Tigo ZAWADI BWERERE sasa tuma neno BWERERE kwenda 15570 ujipatie zawadi yako sasaivi
Kila SMS unayotuma lazima utapata zawadi mojawapo kati ya zifuatazo.
Pesa taslim shilingi milioni moja muda wa maongezi bwerere dakika 3, 5 au 10 (kuongea simu za Tigo kwenda Tigo) au MS za bure 5
Gharama ya kila SMS ni sh 360 tu. mteja anaweza akashiriki maranyingi awezavyo ili kujipatia zawadi nyingi zaidi.
Pia tunaendelea kuwakumbusha wateja kushiriki promosheni zetu nyingine mfano ile ya wapenda soka (SHANGWE KISPOTI), sasa unaweza kuibuka mshindi wa jezi mpya ya timu uipendayo
unaweza akajishindia jezi ya Manchester Utd, Chelsea, Arsenal au Liverpool? yenye jina utakalo na namba utakayochagua mwenyewe
Ili kushiriki na ushinde tuma neno JEZI kwenda 15519 kisha utapata maelekezo ya kujichagulia timu unayotaka kujibu maswali yake. kila unapojibu swali kwa kwa usahihi ndio unapata point na ukifikisha point 6000 unaibuka mshindi wa JEZI ORIGINAL ya timu uipendayo.
Gharama ya kila SMS utakayorudisha jubu ni shilingi 200 tu.
© Michuzi
Wednesday, February 17, 2010
Permalink
Mtumie Rafiki Yako
Maoni 0
msaada kwenye tuta: kilimo kwanza
AGRICULTURE FIRST
WE ARE BUYING MORINGA OLEIFERA TREE SEEDS (MLONGE) ABOUT MORINGA: TROPICAL MULTIPURPOSE TREE, GROWS VERY FAST YIELDING IN ITS FIRST YEAR AND MATURING AFTER FOUR YEARS AND IT HAS AN ECONOMIC LIFE OF 15 YEARS.
IT PRODUCES SEEDS THAT ARE USED TO PRODUCE MORINGA OIL WHICH CAN BE USED AS COOKING OIL AS WELL AS VIABLE INGREDIENT IN THE PRODUCTION OF PESONAL CARE PRODUCTS.
THE SEEDS CAKE, A BY PRODUCT OF OIL EXTRACTION IS USEFUL AS FERTILIZER, BIO FUEL, WATER TREATMENT AS WELL AS ANIMAL FEED. THE LEAVES WHICH CONTAINS A VERY HIGH NUTRITIONAL VALUE ARE EDIBLE RAW AS WELL AS COOKED VEGETABLE .
INTERESTED SELLERS CALL
+255 754 /715 272065
FOR MORE INFORMATION ON VALUES AND PRODUCTS OF MORINGA GOOGLE MORINGATREE
Comments