DJ maarufu nchini Jay dee kutoka kulia (Pichani), akizungumza jambo usiku huo wa Jumamosi ya kuikaribisha Valentine na wamwisho kushoto ni Stive Nyerere.
(Pichani) aliyesimama ni DJ venture aki mzawadia kuponi mmoja wamashabiki katika disko la Flava nite usiku , zawadi hiyo alizawadiwa aliyependeza zaidi , ambapo kuponi hiyo ilikuwa na maelekezo ya kwenda kulala katika hoteli ya Grand Villa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Valentine , licha ya zawadi hiyo pia jamaa alipewa zawadi nyingine ya chupa ya Shampeni yenye thamani kubwa.
Comments