FEBRUARI 6 miaka 65 iliyopita , alizaliwa nabii wa kimuziki duniani, nguli wa reggae anafahamika kama Marley Bob Marley japokuwa jina lake kamili ni refuzaidi,
jina kamili ni Robert Nesta Berhane Sellasie Donald Jeseph Marley majina haya yalitokana na hulka yake katika life .
Si kawaida mtu akifariki kuendelea kufanyika
lakini umaaalum kamaBob siku hiyo huende kushehereklewa .
Mchango wake ulikuwa mkubwa katika jamii,Sote babuuu tuseme 'Happy birthday Bob',
mpaka hivi sasa picha na mavazi yake yameendelea kuvaliwa , na kumbuka sana picha
ya bob nikiwa mdogo nilikuwanaiona ukutani nyumbani kwa mama mkubwa miaka ya 1991,
Maeneo ya Isamiro Mwanza wakati huo nyumba nyingi tu zilikuwa ni za makampuni sio kama unavyoiona Isamiro ya sasa huko jijini Mwanza.
Kwa mtaji huo babake picha hizo bado utaziona ukitembelea studio za kulekodi muziki
mfano Baucha Recodrs iliyopo Magomeni na Ghetto nyingi za washikaji utaziona picha
hizo.

Comments