Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa S Simba akiwa pamoja na katibu Mkuu wa Umoja wa Wanafunzi wa Kitaanzania wasomao Nchini Misri (T.S.U) na Mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Al-azhar Cairo Nd,Ghalib Nassor Monero katikati Sheikhul-Azahar Baada ya Mazungumzo katika ofisi za Sheikhul-Azhar Daraasa Cairo.
Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Shaabani Simba akiwa na Mazungumzo na Sheikhul-Azhar Pr. Dr. Muhammad Sayyed Tantawy Kwenye ofisi yake Masheikhatul-Azhar iliopo Daraasa.
Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Shaabani Simba yupo nchini Misri Akihudhuria Mkutano Mkuu wa 22 (The 22nd General Conference: Under the Title The Objectives of Shariah Islamic Law And Issues of the Contemporary Age. Mkutano huo ambao ulianza siku ya 22-25 February 2010 sawa na 8-11 Rabi Al-awwal 1431H. Mkutano huo ulifanyika Katika Hoteli ya Conrad, Cairo, na ulijumuusha Masheikh na Viongozi wa Wakuu wa Nchi Zingine.
Comments