HAAAAA ilikuwa ni pata shika jana Dimba la Uhuru (Shamba la Bibi), wakwanza kushoto ni mshambuliaji wa Simba Mussa Hassan (Mgosi), akichuana kugombea mpira na kiungo wa timu ya Lyon Rashid Tumbo ambaye ni kiungo wa katikati wa timu hiyo , iliyo taka kuwanyima usikungi jana washabiki wa msimbazzzzzz. Timu hizo zilitoka dimbani kwa sare ya bao( 1-1 ).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments