HAPO (Pichani) ni Mwenyekiti wa kamati ya Michezo wa Wilaya ya Ilala jana , sambamba na Mkuu wa Wilay a ya Ilala.
JANA kamati ya michezo ya Wilaya ya Ilala ,iliiagiza Klab ya Simba ifanye uchaguzi wake mkuu si zaidi ya machi 3 mwaka huu.
Mwenye kiti wa wa kamati hiyo , Prisca Kissila , alisema kamati ya michezo inauagiza uongozi wa Klab ya hiyouhakikishe lazima inafanya uchaguzi ndani ya siku 90 kutoka Desemmba 3 mwaka huu.
Kissila alisema , katika kikao walichokaa wiki hii maagizo yaliyotolewa na Mkuu waWilaya kwa kamati hiyo yafuate katya Simba pamoja na sheria namba 12 ya mwaka 1967 na marekebisho yake namba 6 ya mwaka 1971 ya Baraza la Michezo la Tifa na kanuni za usajili namba 442 za mwaka 1999.
Comments