Disko la Flava Nite leo litagawa Glass ya Wine Mlangoni , kwa kila shabiki atakae ingia mlangoni.
Baadhi ya watu wa Fleva Nite wakiwa wamejiachia kinamna jumamosi iliyopita Mzalendo Pub katika mjengo wa Milleium Tower Kijitonyama Dar es Salaam. Kwa mijibu wa sms ya Dj Venture iliyonifikia sasa hivi.
Comments