
Kampeni hiyo itaendeshwa karibu nchi nzima, pia kampeni hii ni kuhamasisha kizazi kipya cha vijana kupambana na ugonjwa wa malaria ili kuifanya jamii iliyo salama dhidi ya ugonjwa huo.
Hapa nchini na inaratibiwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii pamoja na mradi wa kutokomeza maralia.b wasanii kibao atakuwepo ikiwa ni pamoja na kidumu kutoka burundi,lady Jay Dee, Pro Jay, Diamond, Dully,Marlow,Madee,jeska, Bi kidude, Mwasitimataluma,Triple X, Banana, Ngwea na wengine kibao..
Comments