Ingawa kwenye historia ya sikukuu hiyo ya Valentine :Siku ya wapendanao ilisherekewa
Afrika pia , haioneshi kama utamaduni wa kusherekea ulikuwapo barani Afrika ,kwani nchinyingi zimeiga utamaduni huo.
Kutoka nchini kama Marekani , Canada ,Ungereza n.k. hata hivyo kuna mataifa
mengine maarufu tu duniani ya Kiislamu ambayo yanaamini kutoielewa kabisa siku hiyo.
Nchi kama Saud Arabia na Pakistani hazisherekei kabisa sikukuu hiyo pamoja na uuzaji wa maua mekundu ,kadi na kituchochote kinacho husiana na siku kuu hiyo.
Hata kwetu tanzania japokuwa wengi wanaijua siku hiyo kiundani walio wengi kuna alama ya
kutojua chanzo na kuna hali ya ushabiki tu. Ila tu, Blog hiinaomba serikali isije ika panga
tarehe ya kusherekea siku hii Kitaifa kwani bado tunataka maendeleo ya nchi.
Inchi kama Kenya tangu awali imekuwa na tabia ya kusaka Uchumi kwa mfano
hapo awali nilikuwa napenda sana kusikiliza redio KBC na mara kadhaa nilikuwa nasikiliza hivi "Mtoto wa fulani amefaulu kutakuwa na alambee jioni leo kumchangia fedha akasome"
Ndio maana tunaona kielimu jamaa wakombele ile ile. Tuwe na vitu vya maana vya kujenga!!
Comments