HII ndio hali ilivyokuwa Dar es Salaam.
HAPA hali ya upambaji asikwambie mtu kitu kama mambele , zilikuwapo jana mlangoni hali hizi katika lango la kuingilia Club Masai Kinondoni jiji Dar es Salaam ambapo blog hii hilitia timu hali ilikuwa na mvuto babake wapendwa waling'ara ukukila moja akijitaidi kuonesha shangwe kwa mwenzake, ebwana uingozi wa Club hiyo ulijitaidi kupamba , na utwangaji wa mangoma kidogo ulikuwa tofauti.
Comments