Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2010

Makamuzi ya Jana Haya Kuamkia J'Pili

Mapoziiii ya jana usiku , wakwanza (Pichani) ni Dj Juice na wapili ni 'Rado' na mshikaji wa mwisho ni mkali kutoka Times FM redio ya jijini Dar . RADO mwenye nyere ndefu na Machibya 'Rado' aja na track zingine , asema zitareta mwanzo mpya tayari zipo jikoni mzazii zinapikika. HAPA ebwana tumejipanga kwa ajili ya pozi la picha mara tu , tulipo bambana usiku wa jana kiwanja cha Zhoughua na Ramji Radoph 'Rado' msanii aliye tengenezea track lake lililo sisimua kwa Prodyuza Ally Baucha sitaji jina la trck kwa ni wanyamwezi hawa na Faree Kubanda 'Fid-Q , nimesoma nao kitambo pale Shule ya Msingi Nyakabungo jijini Mwanza kabla ya kumaliazia Dar pale Muhimbili . Basi mimi Machibya na jamaa Rado usiku wa jana ulikuwa wetu asikwambie kitu mtu tulikumbushia stori za Nyakabungo mpaka sasa tulivyo watuwazima.

POZI LA MACHIMA NA DJ KEVIN TWISA NI SOOOO.

(PICHANI) , ni DJ Kevin Twisa alipokuwa akifanya makamuzi jana Zhongua Garden barabara ya Ali Hassan Mwinyi Dar es Salaam , huku Machibya akipiga naye stori za nyakati za kupaty usiku huo wa jana.

MWENYEKITI WA WATOTO WANAISHI MAZINGIRA MAGUMU OMARY RAJABU AKISOMA RISALA LEO MCHANA

RISALA aliyosomewa leo Mh Mbunge wa Ilala na watoto wanaoishi mazingira magumu , hilikuwa eneo la Posta Mpya mchana.

WAPI LEO HII ZANZIBAR

WAPI ZANZIBAR Presents MKALI WA FREESTYLE (BATTLE OF MCs) Judges will be the audience!!! Performances by: BLACK ROOTS, SWAHILI VIBE, MARCUS ALPHA, ORIGINAL SHAKE AND MANY MORE.... LIVE @ Ngome Kongwe, Zanzibar Sunday, February 28th, 2010, 3pm-9pm fashion show by local up and coming designers & models..coordinated by Kemi Kalikawe Visual art corner will activated by lots of new talents LADIES & GENTS- Free Entry WAPI, which stands for Words and Pictures, is a British Council initiative that was launched in Nairobi, Kenya, in 2006 and now operates in Nigeria, Ethiopia, Ghana, Uganda and Tanzania too. It’s a platform for underground artists – whatever their medium – to meet and compete and show what they can do.

MSOME HASHEEM

Hasheem with his Dakota Wizards team mates When news surfaced that Hasheem Thabeet is headed to the Development League (D-League), the reaction among Tanzanians especially the users of social networks such as Facebook and blogs were overwhelming. I guess the big question in lots of folk’s minds was; what is a D-League? Does it suggest that he is no longer going to be playing in the usual NBA league? Well, it depends on a lot of things. You can read more about the D-League and its implications or benefits to Hasheem career by clicking here and also here. The social networks such as Facebook and blogs were immediately stuffed with comments and opinions. Some were wishing him a “quick comeback “to the NBA, while some couldn’t hesitate to throw jabs on him in the sentiment of “we told you”. The Memphis Grizzlies have just assigned center Hasheem Thabeet to the Dakota Wizards, Memphis’ NBA D-League affiliate. The assignment is the 23rd time an NBA player has been assigned to an NBA D-League...

WATOTO WANAOSHI MAZINGIRA MAGUMU WAMWELEZA MATATIZO YAO MH MUSSA AZZANI ZUNGU LEO MCHANA

(PICHANI ) aliyevalia flana ni Mh Mbunge wa Ilala Mssa Azzani Zungu katikati na wakwanza kulia ni Zahir Baba leo katika mazungmzo na watoto waishio katika mazingira magumu hapa ni viwanja vya Posta Mpya Dar es Salaam. UMOJA WA WATOTO TUNAOISHI KATIKA MAZINGRA MAGUMU (MITAANI) Mh mgeni rasmi Mussa Azzani Zungu wageni waarikwa wote mliofika hapa hii leo wote tunawakaribisha lakini pia ni furaha kwetu kuwaona mmefika hapa , siku hii ya leo, kwa kweli mnaitaji pongezi za pekee siku hii ya leo. Mh mgeni rasmi katika umoja huu kuna watoto na vijana ambao wote tunaishi maisha ya kubahatisha kutokana na kukosa mahitaji muhimu kama vile chakula makazi na elimu kwa binadamu. Tumeamua kuunda umoja ili tuweze kuomba msaada na tusaidiwe ilikuondokana na maisha haya mabaya. Maelezo Yetu : Mh mgeni rasmi sisi tumetoka sehemu mbalimbali ndani ya tanzania . Sababu zilizotufanya kuondoka majumbani mwetu ni nyingi lakini moja ya sababu hizo ni ugomvi wa wazazi , umaskini , kufiwa na wazazi kutelekezwa n...

USIIIII ACHE KUICHABO HII

KITU cha hatari hii mtumzima

FLEVA NITE KUGAWA GLASS YA WINE LEO

Disko la Flava Nite leo litagawa Glass ya Wine Mlangoni , kwa kila shabiki atakae ingia mlangoni. Baadhi ya watu wa Fleva Nite wakiwa wamejiachia kinamna jumamosi iliyopita Mzalendo Pub katika mjengo wa Milleium Tower Kijitonyama Dar es Salaam. Kwa mijibu wa sms ya Dj Venture iliyonifikia sasa hivi.

SHEREHE ZA MIAKA 33 ZA CHAMA CHA MAPINDUZI UNGEREZA

CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA UINGEREZA SHEREHE YA KUZALIWA KWAChama Cha Mapinduzi (CCM)MIAKA 33 YA CCMWanachama Wote - C C MWakereketwa Wote - C C MWapenzi Na Wana-Mapinduzi WoteTarehe: 06/03/2010 saa: 10 jioni Hadi Saa 5 usiku WAPI:UKUMBI WA: THE WAREHOUSE1 CUMBERLAND ROADREADINGRG1 3LB Mgeni RasmiMakamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara: Mhe Pius Msekwa Watanzania ambao wangependa kujiandikisha, mnaombwa kuleta picha zenu za passport size mbili na paundi kumi na tano (paundi tatu kwa kadi, halafu paundi kumi na mbili kwa ada ya uanachama ya mwaka mzima). Kwa ufafanuzi zaidi, tafadhali wasiliana na:Moses Katega - 07727475313Victor Mgoya – 07501083328Maira Migire – 07799212095Wote Mnakaribishwa – Kutakuwa na Vinywaji, Vitafunio, na Muziki Baada ya Shughuli Zote.

EBWANA SOMA HII

MARCH 6 STYLE N SWAGGA ALL LADIES GET UR BEST OUTFIT N WIN $200 FIRST PLACE $100 SECOND PLACE $50 THIRD PLACE @CLUB SAFARISPECIAL LIVE PERFORMANCE FROM LBT(BONGO FINEST).AB(BLACK SENSATION). GIE MANIE(TZ FINEST)

TID MWANZO MWISHO AFANYA KUFURU SASA CLUB MASAI KIWANJA CHAKE

Haya yalikuwa makamuzi ya jana usiku. TID alipokuwa akikamua jana usiku Club Masai Kinondoni. TID alipomkalibisha nguli wa Hip Hop Chid benzi.  Shabiki aliyeonesha upendo mkubwa kwa ITD siyeye kila sehemu ukumbini walidada picha hizi ni kielelezo tosha.

TID AWAEUSHA MASHABIKI JANA CLUB MASAI KINONDONI ILIKUWA PETEZA AAA

ULIKUWA ni usiku wa miujiza jana Nyota ya uimbaji wa TID iliwafanya mashabiki wake kulia machozi . Alianza kuimba na kulitawala jukwaa hapo hapo tu alipowasalimia mashabiki, hali halisi inajionesha kattika (Picha Hizi). Hapo TID alipo fuatwa jukwaani na binti shabiki wake usiku huo , huyo aliyecheza mpaka baaaasiii. Haikuishia hapo muzuka wa msanii wa Hip Hop Chid Benzi uliingiza hisia zingine na ukumbi kumbi kuonekana kuzidi kuwa mdogo , Chid aliingia stejini kumsalimia TID na kuwapa hi mashabiki wa TID lakini kilichotokea hapo weacha tu , aliimba dakika 10 tu , akiimba kwa kutumia Live Band ya msanii TID  Top Band.. TID jana usiku akiwa na Rich One (Pichani). TID alipoanza makamuzi yake jana usiku Club Masai Kinondoni.

Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Shaabani Simba Yuko Ziarani Misri.

Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa S Simba akiwa pamoja na katibu Mkuu wa Umoja wa Wanafunzi wa Kitaanzania wasomao Nchini Misri (T.S.U) na Mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Al-azhar Cairo Nd,Ghalib Nassor Monero katikati Sheikhul-Azahar Baada ya Mazungumzo katika ofisi za Sheikhul-Azhar Daraasa Cairo. Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Shaabani Simba akiwa na Mazungumzo na Sheikhul-Azhar Pr. Dr. Muhammad Sayyed Tantawy Kwenye  ofisi yake  Masheikhatul-Azhar iliopo Daraasa. Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Shaabani Simba yupo nchini Misri Akihudhuria Mkutano Mkuu wa 22 (The 22nd General Conference: Under the Title The Objectives of  Shariah   Islamic Law And Issues of the Contemporary Age. Mkutano huo ambao ulianza siku ya 22-25 February 2010 sawa na 8-11 Rabi Al-awwal 1431H. Mkutano huo ulifanyika Katika Hoteli ya Conrad, Cairo, na ulijumuusha Masheikh na Viongozi wa Wakuu wa Nchi Zingine.

Msome Hapa Hasheem Thabeet Kuna Nini Huko Majuu

The Memphis Grizzlies are sending No. 2 overall pick Hasheem Thabeet down for a stint in the D-League. The move has not yet been announced, but two sources close to the situation on Thursday confirmed Thabeet's impending D-League assignment to the Dakota Wizards to ESPN.com. Thabeet will thus become the highest draft pick ever sent to the D-League by an NBA team. Players can only be assigned to D-League duty by their NBA teams during their first two seasons as a pro. Thabeet's forthcoming assignment to the Wizards -- Memphis' North Dakota-based affiliate -- was first reported by the Web site RidiculousUpside.com, which covers the D-League extensively. Although the Grizzlies acknowledged that Thabeet was a long-term project when they selected him with the No. 2 pick in June over the likes of local collegiate star Tyreke Evans, Memphis was hoping that the 7-foot-3 center could survive as a backup in his first NBA season. But Grizzlies coach Lionel Hollins an...

WAPI WAKO FULL WEACHA TU

DJ HUYU KWA MAYENU HATARIIIIII USIMPIMIE

DJ Rankim Ramadhani akiwa muzigoni Zhonghua Garden barabara ya Ali Hassan Mwinyi Bongo.

USIKOSE KUSOMA HIIII KILA WIKI

AFTER PARTY BASH HIYOOOO

HUSSEIN MACHOZI NA NAKAAYA HAOOO BABATI

WAPOKEEENI hawa nyota wa muziki wa kizazi kipya wakazi wa mjini Babati.

AFRICAN LYON WAWA AAA WALIUONAMWEZI JANA WALIWABANA MBAVU SIMBA

HAAAAA ilikuwa ni pata shika jana Dimba la Uhuru (Shamba la Bibi), wakwanza kushoto ni mshambuliaji wa Simba Mussa Hassan (Mgosi), akichuana kugombea mpira na kiungo wa timu ya Lyon Rashid Tumbo ambaye ni kiungo wa katikati wa timu hiyo , iliyo taka kuwanyima usikungi jana washabiki wa msimbazzzzzz. Timu hizo zilitoka dimbani kwa sare ya bao( 1-1 ).

CHEKI HII SHEIZA AKIPIGA STORI NA MKALI MWENZAKE

JAMA hawa usdikika katika mawimbi ta redio Times FM wakali haooooooo.

KATUNIST OSCAR MAKOYE AMA ZAUSO DJ MCHABO ALIVYO BAMBIA

NIAJE huyo aliye mbabia kimwana Mecky ni jamaa mmoja hivi maarufu ujiita zauso dj, hapo ni maeneo ya redio Times FM .

JANA BAADHI YA MAENEO YA JIJINI JANA USIKU KARIA KOO

TOB BANDI IKIWA MAZOEZINI JANA

BENDI ya msanii maarufu nchini TOP BAND jana Jijini.

BOMOA BOMOA KITAA MSANII MAARUFU TID SIJUI NI TINGA TINGA AMA LAA!!!!

JANA wakati blog hii ikielekea katika mazoezi ya bendi ya msanii nguli nchini TID kucheki stuation za mazoezi yanavyoenda , katika kitaa anachoishi msanii huyo kuanzia home kwao baadhi ya kuta zilionekana kuvunywa (Pichani) kama unavyoona ni Mwananyamala Dar ukuelekea Sterio Baa.

MWANA FA KUTOKA NA SINGO MPYA USIJE MJINI

"My album iko under myself..cost zangu mwenyewe...am still working at clouds fm n nina mengi mazuri to my fans .. I luv them a lot and nawaheshimu.."

ZANZIBAR HISTORIAN

PROFFESSOR ABDUL SHERIFF FAMOUS ZANZIBAR HISTORIAN RECEIVING THE ZATI SPECIAL AWARD FROM THE BRITISH HIGH COMMISSIONER4 TO TANZANIA BALOZI DIANE CORNER FOR HIS OUTSTANDING WORK IN PRESERVING HISTORY AND PROMOTING THE RICH SWAHILI CULTURE WHICH HAD A DIRECT POSITIVE IMAGE ON THE CULTURAL TOURISM OF ZANZIBAR MEMBERS OF ZATI, COMMISSION FOR TOURISM AND REPRESENTATIVES OF VODACOM AND KCB ON A GROUP PICTURE..CELEBRATING THE SUCCESS OF THE EVENING

Cheki Hapa performance@Alliance

NORWAY TANZANIA EXCHANGE PROGRAM 2009 -201012 students (6 Norwegian – 6 Tanzanian )Performance of dance, drama & musicUpstairs, FREE !

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ALIPOTEMBELEA BWAWA LA MWAMAPULI WILAYANI IGUNGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto), akipata maelezo kuhusu Bwawa la maji la Mwamapuli wilayani Igunga, Tabora kutoka kwa Mbunge wa Jimbo hilo, Rostam Aziz (wa tatu kulia) wakati alipokagua bwawa hilo linalotumika katika kilimo cha umwagiliaji. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Abeid Mwinyimussa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu-jana)

Preisdent kikwete

The Rector of Fatih University in Instabul, Turkey, Professor Shariff Ali confer upon President Jakaya Mrisho Kikwete a honorary Doctorate Degree (Honoris Causa) in International Relations during a colourful ceremony held at Fatih Univesity in Instabul Turkey Friday evening Professor Shariff Ali confer upon President Jakaya Mrisho Kikwete a honorary Doctorate Degree (Honoris Causa) in International Relations during a colourful ceremony held at Fatih Univesity in Instabul Turkey Friday eveningPresident Jakaya Mrisho Kikwete prepares to deliver his acceptance speech shortly after he was conferred with Honorary Doctorate Degree in International Relations yesterday at Fatih University, in Instabul, Turkey Friday evening. Photo by Freddy Maro.Rais Kikwete atunukiwashahada ya falsafa ya udaktari. Yeye asema anaitunuku kwa Watanzania wote Na Mwandishi Maalum,Istanbul, Uturuki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Ijumaa, Februari 19, 2010, ametunukiwa...

CONFERENCE AGENDA

The Tanzania High Commission in London in collaboration with the Tanzania Association in the UK (TA-UK) are organizing a Tanzania Diaspora Conference (Diaspora 2 London) to take place from the 26 to 27 March 2010 at Sattavis Patidar Center, Forty Avenue J/W The Avenue, Wembley Park, Middlesex HA9 9PE(London, United Kingdom). The Minister for Foreign Affairs and International Co-operation of the United Republic of Tanzania, Hon. Bernard Kamillius Membe will grace the occasion. The two-day event will include a Diaspora support agenda (Day One) and a general meeting of the TA-UK to approve a new Constitution and to elect the association’s leaders (Day Two). Conference Agenda The Diaspora 2 London is a follow-up to the first Tanzania Diaspora Conference held in London on the 18th April 2008. As it was the case with Tanzania Diaspora and Skills Conference the Tanzanian private sector has been invited to participate. These include banks, NHC and estate agents, employment agencies and s...

LUTENI KALAMA AJITOA RASIMI WANAUME HALISI

JANA usiku wa saa moja , nilipigiwa simu na Luteni Kalama akiwa maeneo ya Vaticani Sinza Dar es Salaam nilipofika jamaa tulichonga mambo mengi tu . Neno la kwanza alisema nimekuita Francis Machibya kukueleza kuwa nimejitoa kundini , nilipatwa na mshangao na ndipo topiki zikazungumzwa za yeye kujitoa kundini, 'naanza kusaka mafanikio mapya nikiwa nimejitioa katika kundi la Wanaume Halisi nimefikia uhamuzi huo mimi na mdogowangu 'Malipo' wote kwa pamoja hatuko katika kundi hilo. Mimi Machibya nilikumbuka kauli ya AY alivyoniita miaka ya nyuma sasa nyumbani kwake kijitonyama na kuwakuta wasanii wenzake mmoja wapo akiwa Sinare ambao wote usanii wao walianza nao wakiwa Sekondari ya Ifunda , katika maongezi gafla Ay aliingiza topiki ya kutoingiza sokoni albamu kwa kuwapelekea wadosi. Ambapo Sinare na Buf -G walisababisha nikatoka usiku ambapo Sinare kwa pampja walinileta mpaka Msasani Namanga. Kwa kile walichokuwa wakikipinga kususia kwa Ay soko la muziki kwa ajili ya wadosi w...

MMM USIANGALIE HILI UDATE NI POZI JEMA LA SHAMSA FORD NA ZAMARADI MKETEMA

POZI hili ni jema kwa mng'ao babake , mtoko waho , wadada hawa ulinga'gara katika disko la Fleva Nite jumamosi iliyopita.

DJ JUICE NA DJ ADAMU MCHOMVU

HAPA ni usiku mida ya kula bata (Pichani) ,wakwanza ni mwenye blog hii Machibya  katikati ni Dj Juice na Adam mchomvu wakisalimiana kwa kupeana mikono sijui ni akili zao za usiku kwanimuda tu walikuwa wameisha onana ghafla naona tena jamaa wanapeana mikono.

DJ BONILUV AKIWA NA MTANGAZAJI MACHACHALI KWA HISASA ZAMARADI MKETEMA

BLOG hii ilikuwa mzigoni katika disko lililo na kauli mbiu ya Flava Nite linaloporomoshwa kila Ijumaa katika mjengo wa Millenium Tower  ni moja ya madisko babu kubwa nchini , ni usiku wa manane hapa.

EBWANA MCHABO DJ HUYU.

DJ huyo ameteka jiji la Dar katika kijimuda cha jionio jua kuzama anatwanga mangoma ya kweli kiasi sasa ukusogea maeneo ya maduka utasikia makamuzi yake kupitia redio za madukani uswahilini na kwingineko kipindi chake kinaitwa Bongo Dot Home  kupitia mawimbi ya Redio Times Fm , ni mtu wangu wa karibu sana sio ,  nilikuwa namuona mara kwa mara nikiwa nasoma Shule ya Msingi Nyakabungo ,Shule iliyokaribu na Mlima wa Machemba jijini Mwanza  alikuwa akifika kwa king Kif Nigga ndipo nilipo mfahamu kabisa . Walikuwa wakiwasiliana katika stori za michongo na mara kwa mara Juce aliwahi kupiga Chake chake disko ilatu  nihabari njema kwao na jamaa ni mababu kubwa wa U dj ilembaya kaka ake kwa sasa ni moja wa viongozi wa redio Times FM na pia mble Ulaya anakaka ake aitwaye Dj Habib ambaye moto wake utaweza kuukumbuka katika lile disko liliofahamika kwa jina la Power Four .... na kubamba jiji zima kwa mtikisiko wa kufa mtu. kabla ya kutambaa mbeleee. Miaka hiyo naanza kumfahamu...